ukikopa haupewi ela, unapewa document inaitwa IOU, hizi IOU znabaki kwenye central bank na unaweza kuzitumia kufanya transaction ambazo ni digital tu! you will never have cash by using an IOU unless mtu ajitolee kununua deni la taifa unampa hio IOU alafu yeye anakupa hizo cash
- tatizo lake ni kwamba in future utalipa kidogo kidogo kama kodi kutoka kwa wananchi, mfano samia juzi alikopa mara mbili jumla karibia trillion 1 ya tanzania, hizi pesa ztalipwa na kizazi cha mbele kabisa uko sio sisi, lakini we fikiria ivi, umekopa tuseme $500M ambazo ni trillion moja, baada ya miaka 20 au 30, hio $500M ni pesa ingine tafauti kabisa, Tsh haiwezi kwenda above the USD kwa sababu usd ndo inaaaminika dunia nzima so haiwezi tokea sku tsh ikawa kama world currency maaana yake lazima ife against the Tsh, by factor of how much sijui but 20 years is enough to double tsh against usd, na zote lazima zilipwe jumlisha interest