Kuna Kenya airways, Ethiopia airways, Rwanda airways. Ili la kwetu ni uongozi mbovu na kukosa ubunifu!
Umewaza Vizuri sana tena nje ya Boksi ila umeshindwa kuwaza hivo nje ya Boks juu ya umuhimu wa Ndege..!! Ndege zinaleta faida indirect kwa nchi..!! Kwa mfano kuna wawekezaji watakuja kutumia hizo ndege, watalii watakuja kutumia hizo ndege kutokana na uhakika wa usafiri wa anga. Inawezekana pia ongezeko la watalii kwa miaka 5 pia limechangiwa na kuwepo kwa usafiri wa uhakika wa anga, umewaza ilo?Umeona wafanyabiashara wengi walio hamia mbezi baada ya stendi kuanza? Mzunguko wa hela mbezi umeongezeka mji umepanuka maisha ya wakazi kuzunguka stendi yameboreshwa kuna faida nyingi indirect lakini sio kwa ndege
Assad, hakuona hayo, sijui alipokea mlungula😭!Kweli mambo yanaenda kasi sana.
Miaka 5 iliyopita nani alikuwa anawasilisha ripoti, Kichele au Prof Assad?
Sio tuu ndege hata reli,hizi reli za mjini au metro ndio huwa ni huduma lakini za masafa lazima zilete faida sasa subiri sgr ikamilike itakuwa ni kodi kuendesha,kodi kulipia madeni .Serikali kufanya biashara ya ndege ni kuteketeza pesa za walipa kodi tu. Hakuna siku hili shirika litatengeneza faida hata lingewezeshwa miaka milioni moja.
ni hela ndogo sana hiyo mkuu, ATCL ni long term project hiyo hasara inayozungumzwa hapo imo ndani ya Investiment,Hebu iandike kwanza kwa tarakimu
Umewaza Vizuri sana tena nje ya Boksi ila umeshindwa kuwaza hivo nje ya Boks juu ya umuhimu wa Ndege..!! Ndege zinaleta faida indirect kwa nchi..!! Kwa mfano kuna wawekezaji watakuja kutumia hizo ndege, watalii watakuja kutumia hizo ndege kutokana na uhakika wa usafiri wa anga. Inawezekana pia ongezeko la watalii kwa miaka 5 pia limechangiwa na kuwepo kwa usafiri wa uhakika wa anga, umewaza ilo?
wewe ndio mwehu, hiyo ndio miradi ya maendeleo mkuu,Sio tuu ndege hata reli,hizi reli za mjini au metro ndio huwa ni huduma lakini za masafa lazima zilete faida sasa subiri sgr ikamilike itakuwa ni kodi kuendesha,kodi kulipia madeni .
Huu kama sio wehu ni nini
Mbona nimeshakufafanulia pale juuBrother..!! Embu elewa mantiki yangi basi..!! Ni hivi tumejenga uwanja wa mpira kwa Tsh Bilion 100, je ndani ya miaka 5 utakuwa umerudisha uwekezaji na faida yake?
ni hela ndogo sana hiyo mkuu, ATCL ni long term project hiyo hasara inayozungumzwa hapo imo ndani ya Investiment,
Wewe ni mshamba tu, wala huelewi lolote na wala hujui maana ya maendeleo naweza kusema ni mzigo katika taifa hiliKikwete na mkapa sio kwamba walishindwa kuleta hayo madege ila walijua kwamba ni hasara ndio sababu wakaacha hii biashara kwa sekta binafsi
Yaani hapo ndo patakuwa na kilio na kusaga menoSio tuu ndege hata reli,hizi reli za mjini au metro ndio huwa ni huduma lakini za masafa lazima zilete faida sasa subiri sgr ikamilike itakuwa ni kodi kuendesha,kodi kulipia madeni .
Huu kama sio wehu ni nini