CAG Atilia Shaka Malipo ya Sh Mil 830.7 Clouds & TBC

"TUWACHUKIE MABEBERU WANATUARIBIA NCHI"
IMG-20210408-WA0100.jpg
 
Zigo lote abebeshwe Mendazake alafu tusonge mbele.
 
Ripoti ya CAG imeonesha kuwa Clouds FM na TBC walilipwa shillingi za Kitanzania zaidi ya Milioni 800 kwa ajili ya kutangaza tamasha la Urithi, lakini malipo hayo hayana ushahidi wowote as hawakuonesha risiti ya kielektroniki (source: CAG report, 08 Apr 2021).

Kwa kuwa vyombo hivi vimekuwa mstari wa mbele kutetea wa nyonge na kuonyesha kuwa ni wazalendo, naomba wana JF wote tuwaombe warudishe fedha za wanyonge ili mama aendeleze kazi ya ujenzi wa nchi yetu. walijifanya wapo karibu na serekali ya awamu ya 5 kumbe ni mchwa.

Haiwezekani ku tweets tu ndo igharimu milion 600 zote hizo.

Rudisheni fedha zetu Clouds FM na TBC tafadhali
Ufisadi wakati wa mwendambele ulikuwa wa kiwango cha juu mno haijapata kutokea.
 
Clouds wameshatoa ufafanuzi kwamba wanayo risiti na walifuata taratibu zote za kiserikali na viambatanishi wanavyo pia.
 
Ripoti ya CAG imeonesha kuwa Clouds FM na TBC walilipwa shillingi za Kitanzania zaidi ya Milioni 800 kwa ajili ya kutangaza tamasha la Urithi, lakini malipo hayo hayana ushahidi wowote as hawakuonesha risiti ya kielektroniki (source: CAG report, 08 Apr 2021).

Kwa kuwa vyombo hivi vimekuwa mstari wa mbele kutetea wa nyonge na kuonyesha kuwa ni wazalendo, naomba wana JF wote tuwaombe warudishe fedha za wanyonge ili mama aendeleze kazi ya ujenzi wa nchi yetu. walijifanya wapo karibu na serekali ya awamu ya 5 kumbe ni mchwa.

Haiwezekani ku tweets tu ndo igharimu milion 600 zote hizo.

Rudisheni fedha zetu Clouds FM na TBC tafadhali
Ndiyo maana walikuwa wanaisifia sn hii serikali fisadi kumbe wanajua wanapiga pesa ndefu haswa.
 
Sina mashaka Tale ataenda kuwabana kwenye mijadala mjengoni na huku ndio kwake haswaa ana knowledge napo 😅 😅 😅
 
Siyo kazi ya Kigwangwala hii, kutwa alikuwa anazunguka na wasanii na sometimes akijidai ni kamanda wa guerilla. Kama ikibainika ni yeye ashtakiwe kwa kutumia madaraka vibaya.
 
Back
Top Bottom