Mkuu mbona bado..kuna ya madini inakuja huko kwa kasi kubwaNdio maana hawa matarumbeta walikua hawaambiwi kitu kuhusu mbogamboga sasa wanaumbuka yule wa kusema ondoa hii soma hii kwenye ripoti za CAG hayupo tena. Sasa ndio tunaanza kuona rangi zake halisi baada ya kufa.
Kumbe ndiyo maana hao matv station wao kila kukicha ni kusifia kila ujinga na mapungufu yaliyokuwa yanafanywa chini ya jiwe.Ripoti ya CAG imeonesha kuwa Clouds FM na TBC walilipwa shillingi za Kitanzania zaidi ya Milioni 800 kwa ajili ya kutangaza tamasha la Urithi, lakini malipo hayo hayana ushahidi wowote as hawakuonesha risiti ya kielektroniki (source: CAG report, 08 Apr 2021).
Kwa kuwa vyombo hivi vimekuwa mstari wa mbele kutetea wa nyonge na kuonyesha kuwa ni wazalendo, naomba wana JF wote tuwaombe warudishe fedha za wanyonge ili mama aendeleze kazi ya ujenzi wa nchi yetu. walijifanya wapo karibu na serekali ya awamu ya 5 kumbe ni mchwa.
Haiwezekani ku tweets tu ndo igharimu milion 600 zote hizo.
Rudisheni fedha zetu Clouds FM na TBC tafadhali
Ndiyo maana kina midomo mikubwa walikuwa wanavalishwa maunifom yaoNimeona na wasafi FM nao wametajwa walilipwa 140m
Serikali ya wanyongeNoma kweli !
**** umuhimu wa kuwachunguza kina Makonda na team yake yooteUfisadi wakati wa mwendambele ulikuwa wa kiwango cha juu mno haijapata kutokea.
KWEEEERIIIII KWEEEEERIIIII NDUGU ZANGUmtettezi wa wanyogee aliwaapiga kweeli
Tuwekee hapa tuvione,vinginevyo tunaanzisha kampeini ya kuwapiga spanaClouds wameshatoa ufafanuzi kwamba wanayo risiti na walifuata taratibu zote za kiserikali na viambatanishi wanavyo pia.
Ccm kwa wizi mnaongozaSina mashaka Tale ataenda kuwabana kwenye mijadala mjengoni na huku ndio kwake haswaa ana knowledge napo [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mwizi kama wezi wenginenndiyoo mmaana anajipeendekeeza kwa mamaa asigguuswee azziitapike
Majizi tuNdiyo maana WCB na TBC walikuwa wanamwabudu sana hayati Magufuli.
Sababu ya ulaji.
KudadeeekiiiiiMkuu mbona bado..kuna ya madini inakuja huko kwa kasi kubwa
CC:kipara kipyaManeno ya CAG [emoji432][emoji432][emoji432][emoji432]
Ingekua ni final exams Sasa wananchi tungekua tunasubiri hati safi na chafu tujue kina nani wame-Pass na kina nani wame-Disco
View attachment 1746606View attachment 1746608View attachment 1746609View attachment 1746610
Hapa _kigwangala sijui anapona vipiKarbia bilioni moja iyo! Kwa matangazo tu!!
kampeni ya wasafiSio wasafi Fm ni wasanii wa WCB