Kuna mtu anakuita huku kipara kipyaCC:kipara kipya
Hakika ni Wanyonge kweli !Serikali ya wanyonge
Malipo alifanya serkali, Mkaguzi anaanzia kwenye cheques zilizotolewa, atapewa na mlipaji yaani serkali. Sitegemei kwamba ni wajibu wa mlipwaji kutunza risiti unless unataka kuonyesha malipo ni hewa, in which case bado utaanzia kwa mlipaji je alimlipa nani? Ila ukisema hakuna ushahidi kwamba walitangaza kuasi cha thamani hiyo, hapo nitaelewa: hiyo wenyewe huita value-for-money audit. Hata hivyo bado sijaona utahamishaje jukumu la kujieleza kutoka kwa mlipaji: je, alilalamika?Ripoti ya CAG imeonesha kuwa Clouds FM na TBC walilipwa shillingi za Kitanzania zaidi ya Milioni 800 kwa ajili ya kutangaza tamasha la Urithi, lakini malipo hayo hayana ushahidi wowote as hawakuonesha risiti ya kielektroniki (source: CAG report, 08 Apr 2021).
Kwa kuwa vyombo hivi vimekuwa mstari wa mbele kutetea wa nyonge na kuonyesha kuwa ni wazalendo, naomba wana JF wote tuwaombe warudishe fedha za wanyonge ili mama aendeleze kazi ya ujenzi wa nchi yetu. walijifanya wapo karibu na serekali ya awamu ya 5 kumbe ni mchwa.
Haiwezekani ku tweets tu ndo igharimu milion 600 zote hizo.
Rudisheni fedha zetu Clouds FM na TBC tafadhali
Sasa kwa ushahidi huu DPP anangoja nini kuchukua hatua? mambo yako hadharani kabisa, yaani ni utopolo km hizi report haziwi na impact au action yyote, ni bora wakae nazo kimya , wanokula wale tu.
Value For Money Audit ..nimekuelewa sanaMalipo alifanya serkali, Mkaguzi anaanzia kwenye cheques zilizotolewa, atapewa na mlipaji yaani serkali. Sitegemei kwamba ni wajibu wa mlipwaji kutunza risiti unless unataka kuonyesha malipo ni hewa, in which case bado utaanzia kwa mlipaji je alimlipa nani? Ila ukisema hakuna ushahidi kwamba walitangaza kuasi cha thamani hiyo, hapo nitaelewa: hiyo wenyewe huita value-for-money audit. Hata hivyo bado sijaona utahamishaje jukumu la kujieleza kutoka kwa mlipaji: je, alilalamika?