zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwanini mnatetea mafisadi? Yaani hamtaki kuamini kilikua na majizi enzi za JPM? Mbona Sabaya kakutwa na hatia kupora mamilion au hakupo enzi za JPM? Vipi Nchambi si alihukumiwa kulipa Mabilion baada ya kukiri kuwa ni jangili au hakuwa enzi za JPM?Hawa jamaa wamejipanga kwelikweli!, kwa kushirikiana na wahuni ili adhima yao itimie!, lakini watanzania sio wa enzi hizo!
Aliekuwa DPP kwa Sasa ni Jaji, hii nchi ina vituko Sana.Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.
Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:
- Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
- Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
- Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
- Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!
Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo hazimo kwenye vitabu vya serikali!
View attachment 2202262
Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!
Mwongo!Kwanini mnatetea mafisadi? Yaani hamtaki kuamini kilikua na majizi enzi za JPM? Mbona Sabaya kakutwa na hatia kupora mamilion au hakupo enzi za JPM? Vipi Nchambi si alihukumiwa kulipa Mabilion baada ya kukiri kuwa ni jangili au hakuwa enzi za JPM?
He was never a saint, but rather an overrated scumbag.
Hawa walikuwa WANAHOMOLA , Huu si upigaji wa kawaidaNdio mjue Magu na watu wake walikuwa wapigaji.
Mwendazake hatatoka VINYWANI mwa Watanzania kwa UFISADI WAKEKatika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.
Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:
- Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
- Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
- Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
- Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!
Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo hazimo kwenye vitabu vya serikali!
View attachment 2202262
Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!
Kwa
Kwa hiyo zipo bank gani?Kama wahuni wanatuhakikishia kwamba pesa hizo zilichukuliwa.Watuambie zipo bank ipi.Sio kutuletea maneno ya uongo yasuo na ushahid.
Hiyo taarifa imo kwenye ripoti ya CAG kweli? Napitia ripoti sijaona hiyo taarifa. Nakumbuka kumsikia CAG akisema anaanzisha ukaguzi siku anakabidhi ripoti kwa Mh Rais. Kwa hiyo amemaliza ukaguzi na kutoa taarifa akionyesha kwamba pesa haIkuingia serikalini? Au mnapotosha tu taarifa?Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.
Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:
- Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
- Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
- Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
- Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!
Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo hazimo kwenye vitabu vya serikali!
View attachment 2202262
Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!
Nadhani anasoma vibaya! Siamini kama CAG ameishamaliza ukaguzi na kutoa taarifa. Uzoefu wangu unaonyesha CAG hutoa taarifa yake mara moja na huwa haongei na waandishi wa habari tena hadi wakati wa ripoti nyingine. Huenda mleta uzi kanukuu vibaya.Either mnasoma vibaya hiyo ripoti na kupotosha, au CAG wetu ni kiazi.
Kwani singa singa wa IPTL si aliachiwa na awamu ya 6....na alilipa 26m km kishika uchumba, km hakumaliza au hazikufika si tuwaulize awamu ya 6?mbona kila kitu mnataka kuwabebesha ht wasiohusika?Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.
Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:
- Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
- Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
- Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
- Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!
Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo hazimo kwenye vitabu vya serikali!
View attachment 2202262
Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!
Huyo CAG wenu anaimba tu kwaya kisha atanyamaza wezi wanaenda kutafunaNadhani anasoma vibaya! Siamini kama CAG ameishamaliza ukaguzi na kutoa taarifa. Uzoefu wangu unaonyesha CAG hutoa taarifa yake mara moja na huwa haongei na waandishi wa habari tena hadi wakati wa ripoti nyingine. Huenda mleta uzi kanukuu vibaya.
Lile jambazi lililopewa Ujaji lileKatika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.
Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:
- Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
- Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
- Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
- Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!
Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo hazimo kwenye vitabu vya serikali!
View attachment 2202262
Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!
Mafisadi huwa hawakosi wateteziEither mnasoma vibaya hiyo ripoti na kupotosha, au CAG wetu ni kiazi.
Kesi ya kubambikwa inatayarishwaKatika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.
Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:
- Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
- Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
- Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
- Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!
Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo hazimo kwenye vitabu vya serikali!
View attachment 2202262
Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!
Jadili ww na mumeo inatosha sisi wengine tunajadili mada zenye mashiko na maslahi mapana ya nchi.Slaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.
Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Inaonekana welewa wako ni mdogo Sana kwenye Mambo ya finance na accounting.Yaan umebase Sana kwenye siasa za uongo uongo tu.Hiyo pesa unayosema ni pesa ndefu Sana.Hata Kama mtu anatumia kwa siku million 10 haiwezi kuisha.GAG Sasa aonyshe cash outflow ,ili tujue ipo bank gani Kama ni kweli.Kama unabaki kupiga kelele kwa siasa za kihuni tu ,watanzania kwa Sasa wanaufahamu na wanaelewa.Kigoma Malima alihamisha pesa nyingi Sana kwenda Nje.Lakin zilijulikana kuwa zipo bank Fulani.Sasa nyie machawa wa Kikwete msio just kuwa mnajenga maadui kwa baadae.Mtajuta.Si ukasome ripoti ya CAG ipo public mbona mnakuza wavivu kiasi hiki!! Badala udai PAC ipeleke Hilo suala bungeni unatetea mafisadi. CAG aandike uongo anufaike nini? Wakati cheo chake hawezi tumbuliwa na bajeti yake haiandaliwi na serikali Bali na Kamati ya bunge!!
Funny
Hawa akina Dkt. Mihogo ndio maana wanakimbilia kwenye ONLINE TV wanabwabwaja tu hata hawaulizwi maswali, nimeshangazwa na alichokizungumza kuhusu CAG na mambo mengine. Nadhani alikuwa haulizwi maswali!Msipotoshe hiyo ripoti kabla haijawa tabled huwa mna siku sio chini ya 21 kujibu hizo queries kama hamjibu ndio Zina appear kwa ripoti na hizo ni baada ya vikao na Accounting officers wa wizara na taasisi zilizokaguliwa kushindwa kujibu hizo hoja in time.
So kwenda bungeni ni kuijadili tu na kuomba majibu na clarification ya querry za CAG ila sio verification as if taarifa ni za uongo!!
Mkaguzi haandiki ripoti bila consultation na taasisi inayoshutumiwa. Msitake kupotosha eti CAG anatoa ripoti kwa item zisizofahamika. Huyo Dr Slaa mwenyewe alitumia ripoti za CAG kujenga hoja ya ESCROW Leo hii anadai mpaka ifike bungeni ndio ipate legitimacy? Mnafurahisha sana.