CAG: Mkandarasi alichukua tenda kwa 104b akaiuza kwa 40b akapiga cha juu 64b

Enzi ya Baba wa Taifa:
"kumi na viwili wakati unaingia, na kumi na viwili wakati unatoka, ee! ukamwonyeshe mkeo nyumbani"
Daa! rushwa ilikuwa inaogopwa kama ukoma!! Hasa kwa wenye vitambi!
 
Magu alikuwa bize kuua upinzani huku wenzake wakiwa bize kuiba, ripot ya CAG KILA mwaka ni wizi tupu.
 
Mambo hayo yalifanyika akiwa anatawala mkuu wa malaika? CAG atakuwa mchochezi
Lakini Waitara (wakati huo naibu waziri), aliwahi kuongelea jambo kama hili na akaunda tume. Majibu ya tume yalikuwa nini?
Tusimuonee CAG bana!
 
tumia akili ya kuzaliwa propoganda ya kumchafua jpm bado ipo. western na america wanafanya kwa putin kila aina ya propoganda
Kila kitu western!!!!
You mean hao 'western' wamemnunua CAG kumchafua pombe?!
 
Yy kajenga stendi,je wenzie waliojenga barabara nchi nzima na kuiunganidha tuwape tuzo gani??hakuna kipys alichofanya wenzie walishidwa tatizo tu ni muda,mkapa asingewaza kujenga flyover wakati nchi haina barabara!!
 
Rais hapimwi kwa mabarabara,kikwete ndo rais aliyejenga km nyingi za barabara kuliko yoyote lkn hasemi,mikoa yenu huko mlikuwa mnaenda siku mbili hadi 5 kabla ya ujio wa kikwete!
 
Wote wezi tu hakuna afadhali kila awamu ni ya wezi tu toka uhuru,vingine vinaogopwa kusemwa au vimefichwa makusudi visijulikane ili kulinda legacy fulani bin fulani...
 
Hayo yalimpa kibali cha kuiba?!
Weka ushaidi wa kuiba sio maneno tu,mwambie Samia anavyo vyombo vya kuchunguza waje na data na account pesa zilipofichwa,sio riport hizi za mchongo, enzi za akina Kikwete mambo yote yalienda kwa data mpaka waliobeba ela kwenye viroba, mpaka account zote ziliwekwa, sasahivi ni porojo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…