Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wamekula kwa urefu wa kamba zaoB 157 almost nusu ya 338 imepigwa wahuni wamepita na hela ambayo unapata uwanja mwengine....
Mitano tena.
Mradi wa ujenzi wa uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338
Wakati mwingine namwona CAG anaongea maneno ya kisiasa zaidi. Makadirio na Actual payment ni vitu viwili tofauti kabisa nilitegemea yeye kama CAG aje na taarifa ya kitaalamu zaidi kama mkataba ni halali ama la! Sasa anatuachia sisi wananchi ndio tufanye ukaguzi ama nini?Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere akisoma ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 amesema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh. Bilioni 338.
Usibishane kwa kusoma post tu, bishana kwa kusoma report ya CAGWakati mwingine namwona CAG anaongea maneno ya kisiasa zaidi. Makadirio na Actual payment ni vitu viwili tofauti kabisa nilitegemea yeye kama CAG aje na taarifa ya kitaalamu zaidi kama mkataba ni halali ama la! Sasa anatuachia sisi wananchi ndio tufanye ukaguzi ama nini?