Sibishani bali nimetoa maoni yangu kutokana na thread iliyotolewa hapa JF.Usibishane kwa kusoma post tu, bishana kwa kusoma report ya CAG
Sibishani bali nimetoa maoni yangu kutokana na thread iliyotolewa hapa JF.Usibishane kwa kusoma post tu, bishana kwa kusoma report ya CAG
Ili utoe maoni relevant ni vizuri kuwa well informedSibishani bali nimetoa maoni yangu kutokana na thread iliyotolewa hapa JF.
Makonda?? Mkataba ulisainiwa March 2024 enzi za uwaziri wa Dr Damas Ndumbaro na vyombo vya habari vili-report wazi serikali imetoa 286 Billion!!!Paul Makonda ametumia fursa vizuri akanunua shangingi
Wazalendo wamejipigia hapoPaul Makonda ametumia fursa vizuri akanunua shangingi
Mkataba ulisainiwa March 2024Wazalendo wamejipigia hapo
Ova
Mi mwenyewe huwa najiuliza lengo la hizi report ni nini?, wanaishia kuzisoma na kurumbana bungeni baada ya hapo mjadala unafungwa, ndo maana hawajali report za CAG hazina mwisho wa kuwajibishana wanaendelea na mipigo wakijua itasomwa na itafungwaHizi reports bora wasisome na hii ofisi haina maana kwa Taifa ni matumizi mabaya yafedha za umma kuiendesha. 🙏
Gambo ni walewale tu,alikuwa anajitutumua lengo likiwa kumchafua jamaa yake kuelekea October!!Mrisho Gambo alipopiga kelele wizi wa Arusha akafukuzwa ubunge.
Tuanze na anayewalinda!Tushaambiwa tuwazomee majizi hadi waone aibu.
Sasa ni wakati wa kupiga. Kila mbuzi ale kulingana na urefu wa kmabaye ila jipimieni msivembewe. Rais wetu ameishatupa muongozo.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere akisoma ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 amesema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh. Bilioni 338.
Wewe waweza kuwa ni Muhanga wa Hesabu, Unawezaje kufananisha vitu ambavyo havifanani????Uwanja wa Everton utagharimu £750,000,000 sawa na TSh. 2,553,875,237,883.57. Uwanja wa Arusha utagharimu £99,229,664.00. Stadiums are not cheap. Wakuwalaumu ni hao waliokuja na estimate ingawa inawezekana kabisa hawana uzoefu wa ujenzi wa stadiums za kimataifa. Hapo hujaweka gharama za ubunifu na utayarishaji wa michoro ya kujengea.
Amandla...
Sahivi ana mahips hatari achia mbali takoziKuna watu walinunua Bentley, na kunenepa matako
Anazidi kunenepeanaSahivi ana mahips hatari achia mbali takozi