baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Naomba unitg uzi wako wa kulogwa kupo na uchawi upo nimeutafuta bira mafanikioNo mimi siku zote ni mkweli, tusikubali watu wasafi wachafuliwe kwa majungu!, dogo nimesoma nae chuo UDSM, tangu chuo yuko njema on family support, kisha kawa wakili, just a single deal wakili anaweza kuvuta mpaka US$1.M, hivyo kama ni huyo namjua anatoka familia bora!.
P