CAG Mstaafu Prof Mussa Assad: Kuna Waziri Kijana ana ukwasi wa kutisha miaka mitano tu madarakani!!

Kama ana maanisha yule waziri kijana niliyemtaja hapa Live on TBC: Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu! huyu utajiri wake ni wa familia ya kitajiri, hayo majumba, viwanja na magari, vyote alimiliki kabla ya kuteuliwa waziri!, ni mwanasheria na wakili, ikitokea wakili akasaini mkataba mmoja tuu, anaweza kulipwa hadi dola 1.M, sasa nini cha ajabu?!.
P
Mbona P ni wakili lakini hata usd 50 m hana. Tukueleweje
 
Chenge akilipwaje?

usichanganye malipo halali kwa kazi halali vs wizi na corruption, kwa kazi halali kulipwa 1 million usd kwa tanzagiza siyo kazi rahisi, hapo mara nyingi ni corruption utakuta kampuni zina kesi labda vs serikali ambapo zikishinda hupelekea kulipwa mpaka hundreds of million of us dollars na serikali hivyo hizo kampuni wanashirikiana na watu wa serikali na serikali inashindwa kesi na ndiyo maana hizo law firms zao zina watoto wa hao hao akina chenge& co.

rejea walivyoipeleka air tanzania kwenda kushikwa na wadai uholanzi …
 
Unapotumia maneno kama "HAKI, UKWELI" kana kwamba wewe ndiye mmiliki wake unajionyesha kuwa na fikra mbovu kabisa.
Wewe hao watu unaowatetea ni wake zako au waume zako au baba zako na mama zako?
Hata kama wangekuwa hivyo, utajuwa vipi ukweli wote juu yao.
Ukiwa ni mtu mpenda haki kweli na mtenda haki kweli, utamtetea mtu yeyote ambaye hatendewi haki, hata kama sio mke wako, mzazi wako, mtoto wako au ni ndugu yako, ikitokea kuna mtu yeyote anatuhumiwa kwa uongo na huku wewe ukweli unaujua, utamtetea kwa ule ukweli wewe unaoujua, huyo dogo nilikuwa nae chuo enzi hizo baba sio rais, lakini kwao wako njema!.

  1. Lissu alipotuhumiwa kwa kauli ya tutakinukisha, nimemtetea Pascal Mayalla: Kusema Tutakinukisha au kuandamana sio uhaini; nasema kama mwanasheria
  2. PreGE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason!
  3. Kale kabinti Lulu kaliposhitakiwa kwa mauaji, nimekatetea humu Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!
  4. Kulipoibuka ufisadi wa EPA niliwatetea Kagoda Haina Kesi, hawafikishwi Mahakamani Ng'o!
  5. Stephen Masele aliposhutumiwa Bungeni nilimtetea Steven Masele atamkwe Shujaa wa Taifa! Ni kweli Balozi wa Uingereza ni Jasusi. To Hell with...!
  6. Msajili wa Hazina Lawrance Mafuru alipotumbuliwa na JPM, nilimtetea Mafuru ni Mmoja wa Mashujaa wa Taifa Hili, Kwa Kuwa Mkweli Daima, Jee Kupangiwa Kazi Muhimu Zaidi?.
  7. Zitto alipotimuliwa Chadema kwa usaliti, nilimtetea Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
  8. Juliana Shonza alipotimuliwa Chadema nilimtetea Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
  9. Wale wabunge 19 wa Chadema, walipotimuliwa niliwatetea CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
  10. Mimi najihesabu sio tuu ni mtetezi wa haki, bali ni muelimishaji umma kuhusu haki na mtetezi wa wanyonge Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria, Haki, na Wajibu. Kuwaelimisha Watanzania Wajue Haki zao na Kutimiza Wajibu Wao
    View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=HN-Sh4h8LQBl-fUF

P.
 
No mimi siku zote ni mkweli, tusikubali watu wasafi wachafuliwe kwa majungu!, dogo nimesoma nae chuo UDSM, tangu chuo yuko njema on family support, kisha kawa wakili, just a single deal wakili anaweza kuvuta mpaka US$1.M, hivyo kama ni huyo namjua anatoka familia bora!.
P
Hilo dili moja la uwakili upate dola molion moja ni hapa bongo au wapi?
 
No mimi siku zote ni mkweli, tusikubali watu wasafi wachafuliwe kwa majungu!, dogo nimesoma nae chuo UDSM, tangu chuo yuko njema on family support, kisha kawa wakili, just a single deal wakili anaweza kuvuta mpaka US$1.M, hivyo kama ni huyo namjua anatoka familia bora!.
P
Bashite, yule mvuvi kutoka familia ya mlo mmoja?
 
No mimi siku zote ni mkweli, tusikubali watu wasafi wachafuliwe kwa majungu!, dogo nimesoma nae chuo UDSM, tangu chuo yuko njema on family support, kisha kawa wakili, just a single deal wakili anaweza kuvuta mpaka US$1.M, hivyo kama ni huyo namjua anatoka familia bora!.
P
Wewe nawe si wakili mbona hauvuti kiasi hicho?
 
hivi unaijua dola usd milioni 1 kweli? wakili wa tanzagiza akalipwe 1 million us dollatrs kihalali? kwanza hata dola laki moja kulipwa kihalali kwa kazi halali hata ya mikataba kwa tanzagiza ni nyingi sana ...
Mkuu Kija, Kijakazi , usiwaze kiujakazi ujakazi!, kama fani sio fani yako, huwezi kujua, US$ 1m. kwa wakili ni pesa ya kawaida sana!. Mkataba mmoja tuu, muhuri mmoja na saini moja, wakili anavuta hiyo pesa!, uliza uambiwe au nikutajie na majina yao?.

ndiyo maana nimesema ni wizi, kwa hali ya kawaida kama unalipwa 1 million usd kwa kazi halali ni lazima kuna percentage unapaswa kukatwa kama taxes inaweza kufika hata 30% au zaidi ina maana akilipwa 1 million usd take home itakuwa labda laki saba au hata chini inategemea na kodi.

lkn hao hawalipi kodi kwa maana wao ni serikali.

narudia kwa tanzagiza kazi ya kulipwa 1 million usd kihalali bila madili plus taxes za serikali ni nadra sana, btw “bilionea” wenu rostamu “kanunua” kampuni ya gesi ya songosongo kwa dola 20 usd( 20 us dollars) hata boda boda anaweza kulipa hiyo hela unaona ni mambo kama hayo, wizi tu. …
 
ndiyo maana nimesema ni wizi, kwa kwa kaida kama unalipwa 1 million usd kwa kazi halali ni lazima kuna percentage unakatwa kama taxes inaweza kufika hata 30% au zaidi ina maana akilipwa 1 million usd take home itakuwa labda laki saba au hata chini inategemea na kodi.

lkn hao hawalipi kodi kwa maana wao ni serikali.

narudia kwa tanzagiza kazi ya kulipwa 1 million usd kihali bila madili plus txes za serikali mi nadra sana, btw “bilionea” wenu rostamu kanunua kampuni ya gesi ya songosongo kwa dola 20 usd( 20 us dollars) hata boda boda anaweza kulipa hiyo hela unaona ni mambo kama hayo, wizi tu. …
Naona sasa maneno meengi!, rosti tamu ameingiaje humu?. Tunazungumzia wakili kupiga US$ kwa a single strike, unamleta bilionea wetu number 1 kufanya nini humu?
P
 
Kama ana maanisha yule waziri kijana niliyemtaja hapa Live on TBC: Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu! huyu utajiri wake ni wa familia ya kitajiri, hayo majumba, viwanja na magari, vyote alimiliki kabla ya kuteuliwa waziri!, ni mwanasheria na wakili, ikitokea wakili akasaini mkataba mmoja tuu, anaweza kulipwa hadi dola 1.M, sasa nini cha ajabu?!.
P
What is the motive behind the need to defend someone who isn't even your closest relative, Pascal?
Baba yake ni muasisi wa mtandao mkubwa wa kifisadi nchini, Wapi baba alipata hela hizi?
 
No mimi siku zote ni mkweli, tusikubali watu wasafi wachafuliwe kwa majungu!, dogo nimesoma nae chuo UDSM, tangu chuo yuko njema on family support, kisha kawa wakili, just a single deal wakili anaweza kuvuta mpaka US$1.M, hivyo kama ni huyo namjua anatoka familia bora!.
P
How did the family come to have such wealth?
Acha wafu wazike wafu wao, Pascal.
 
Baba mjeshi ni kanali wa JWTZ!
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Desemba 2005 - Novemba 2015.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa: Novemba 1995 - Desemba 2005.
  • Waziri wa Fedha: 1994 - 1995 (Alikuwa mmoja wa Mawaziri wa Fedha wenye umri mdogo zaidi katika historia).
  • Mjumbe wa Bunge (Mbunge): Alihudumu kwa vipindi tofauti akiwakilisha Jimbo la Bagamoyo.
  • Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU): Januari 2008 - Januari 2009. [1, 2, 3, 4, 5, 6]
Majukumu ya Sasa na Kimataifa
Kikwete anaendelea na shughuli mbalimbali za kitaifa na kimataifa, ikijumuisha:
  • Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi: Global Partnership for Education (GPE).
  • Mkuu wa Chuo (Chancellor): University of Dar es Salaam.
  • Mjumbe wa Jopo la Kimataifa: Anahusika katika diplomasia ya usuluhishi na afya barani Afrika na duniani kote.
Bado una maswali?.
Mtoto ni wakili, mtu ukiwa wakili, unaweza ku srike just a single deal, ukavuta US$ 1m

"Bado una maswali?." MENGI SANA.

Umesema, "Baba ana ukwasi tangu dogo yuko UDSM" hivyo hizi za international tuziache kwanza.

Tupe majina matano ya mawaziri walioshika hizi nyazifa: mambo ya nje, wizara ya fedha; wenye ukwasi wa namna hii?

Mmoja ya mambo muhimu hujayataja hapa ni "Mzee ni muasisi wa mtandao CCM" unao husisha watu wengi wenye kashfa za ufisadi wa kutisha: Rostam, Nyarandu, Karamagi, Manji, Lowassa, Chenge.
 
Tutafute pesa jameni, tuache kufuatilia maisha ya watu!.
Get rich or die trying!.

That's very cheap.

We are concerned citizens tunaouliza maswali ya msingi kuhusu mstakabali wa taifa, usimamizi wa mali za umma na kodi zetu.
Huwezi tujibu eti "Tutafute pesa jameni, tuache kufuatilia maisha ya watu"

Asiye taka kufuatiliwa maisha yake, anafanya nini kwenye ofisi za umma?
 
Baba mjeshi ni kanali wa JWTZ!
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Desemba 2005 - Novemba 2015.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa: Novemba 1995 - Desemba 2005.
  • Waziri wa Fedha: 1994 - 1995 (Alikuwa mmoja wa Mawaziri wa Fedha wenye umri mdogo zaidi katika historia).
  • Mjumbe wa Bunge (Mbunge): Alihudumu kwa vipindi tofauti akiwakilisha Jimbo la Bagamoyo.
  • Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU): Januari 2008 - Januari 2009. [1, 2, 3, 4, 5, 6]
Majukumu ya Sasa na Kimataifa
Kikwete anaendelea na shughuli mbalimbali za kitaifa na kimataifa, ikijumuisha:
  • Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi: Global Partnership for Education (GPE).
  • Mkuu wa Chuo (Chancellor): University of Dar es Salaam.
  • Mjumbe wa Jopo la Kimataifa: Anahusika katika diplomasia ya usuluhishi na afya barani Afrika na duniani kote.
Bado una maswali?.
Mtoto ni wakili, mtu ukiwa wakili, unaweza ku srike just a single deal, ukavuta US$ 1m
P
In Tanzania we are talking about 15 and 25 years ago, okay?

How would do you strike a single deal (that time) and get paid 1$M?

Who would pay you that amount.

And Why?

1$M is it declared and subject to tax?

Are there any records today to show those deals?
 
Back
Top Bottom