Yes mtoto aliyezaliwa familia bora, akasoma shule nzuri, akajiunga undergraduatena the best university of Tanzania, UDSM!, akasomea the most paying course, LL.B!, alipomaliza akaenda post graduate UK kwenye one of the university, sasa ni wakili, ni mbunge, ni waziri, kuwa na US$ 1.M ni very possible!
Kama wewe fani yako sio wakili au zile top most paying jobs huwezi kujua au kuamini!, mimi nakuambia mtu ukiwa wakili, unaweza ku strike the deal ya US$ 1.M in a single deal!, mawakili hao wapo wengi tuu na wengine nawajua kwa majina na hizo deals pia nazijua!.
Taasisi kubwa zinalipa that fee ikiwemo BOT yetu hii hii!
Ni gharama za legal fees za huduma za kisheria.
Sheria yetu ya kodi, iko open and straight forward, uki fanya biashara nchini, utalipa kodi TRA, ukifanya biashara nje ya nchi, huwajibiki kulipa kodi TRA, unalipa kodi kule pesa zilikotoka. Hata Watanzania wote wanaofanya kazi ubalozini, hawakati income tax direct kutoka kwenye mishahara yao, bali wanalipwa take home yao yote, tax affairs ni issues zako personal.
Yes every big legal deals zinafanyika legally, all the records zipo, ukifanya deals kupitia local banks, all the transactions are transparent kupitia benki unayopitishia pesa.
P