Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Konda hajawa waziri miaka 5 iliyopita, ila ni kweli ni tajiri mkubwa, ila mafanikio yake ni kutoka mibaraka kwa Bwana, niliyazungumzia mafanikio yake kitambo Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la PembeniHapa anayetajwa ni kondakita sio rizimoko
Hata zile tuhuma za jina ni wivu tuu Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze
P