TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
kwani ameanza kuwa leo?Mkuu umeamua kuwa The Devils Advocate?
kwani ameanza kuwa leo?Mkuu umeamua kuwa The Devils Advocate?
Wewe umelipwa?Kama ana maanisha yule waziri kijana niliyemtaja hapa Live on TBC: Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu! huyu utajiri wake ni wa familia ya kitajiri, hayo majumba, viwanja na magari, vyote alimiliki kabla ya kuteuliwa waziri!, ni mwanasheria na wakili, ikitokea wakili akasaini mkataba mmoja tuu, anaweza kulipwa hadi dola 1.M, sasa nini cha ajabu?!.
P
Labda hao ni wazee wamehudum zaidi ya miaka 10Professor amechagua mnyonge wake. Otherwise, mawaziri wenye utajiri usio na maelezo yaliyonyooka wapo wa kumwaga nchi hii.
Naona mkuu umepigia mstari.Kama ana maanisha yule waziri kijana niliyemtaja hapa Live on TBC: Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu! huyu utajiri wake ni wa familia ya kitajiri, hayo majumba, viwanja na magari, vyote alimiliki kabla ya kuteuliwa waziri!, ni mwanasheria na wakili, ikitokea wakili akasaini mkataba mmoja tuu, anaweza kulipwa hadi dola 1.M, sasa nini cha ajabu?!.
P
Wa aina hiyo ni nani, zaidi ya Prof. Mbarawa na Nchemba (ambaye ni mtuhumiwa mzoefu)?Labda hao ni wazee wamehudum zaidi ya miaka 10
Hiyo familia iliyokuwa inamsapoti inafanya biashara gani?No mimi siku zote ni mkweli, tusikubali watu wasafi wachafuliwe kwa majungu!, dogo nimesoma nae chuo UDSM, tangu chuo yuko njema on family support, kisha kawa wakili, just a single deal wakili anaweza kuvuta mpaka US$1.M, hivyo kama ni huyo namjua anatoka familia bora!.
P
Hili sasa ndio swali gani?!, Baba ni kanali wa jeshi kwa miaka 10!, waziri kwa miaka 20!, rais kwa miaka 10!, mtaji mkubwa familia waliompa ni good education, sasa mtoto ni wakili anaweza kusaini mkataba mmoja tuu wa US$1.m!, what more do you want?!.Hiyo familia iliyokuwa inamsapoti inafanya biashara gani?
Koromije inatisha sana kwa Maambuki ya HIV ,sijui Makonda anataarifa au yeye Mu -Arusha sasa mazima!!!?Kama sio mkwe, ni mwana mfalme, kama siye huyo ni yule wa kaskazini mchinjaji wa ngombe mia ali tokea kolomije, kama sie huyo basi again ni mkwe .
Kwa hiyo utumishi wa umma wa wazazi wake ndiyo biashara? Huwezi kuwa billionaire kwa kazi ya kuajiriwa.Hili sasa ndio swali gani?!, Baba ni kanali wa jeshi kwa miaka 10!, waziri kwa miaka 20!, rais kwa miaka 10!, mtaji mkubwa familia waliompa ni good education, sasa mtoto ni wakili anaweza kusaini mkataba mmoja tuu wa US$1.m!, what more do you want?!.
P
Mkuu Chifu, Chief , wewe wa 2006 ni legend humu, huu ni mwaka wa 20!, wewe ni wa kuuliza kama nimelipwa?.Wewe umelipwa?
View attachment 3614785
CAG Mstaafu Profesa Mussa Assad amedai kuna Waziri kijana Awamu hii ya Sita ana ukwasi wa kutish alipoingia tu madarakani.
Prof Assad amesema
"Namjua kijana mmoja Waziri, ana magari matatu ya Shillingi 300 kils mojs,ana gari aina ya Range Rover, ana flats(maghorofa) hapa Dar es salaam chungu nzima.
Unajiuliza hii miaka mitano, umefanya kitu gani cha kukupa hizi Dola Bilioni moja"
Nipashe June 24, 2026.
Je hii ni ile sera ya kula kwa urefu wa kamba?
Wajameni Waziri Kijana ni nani huyo nasi tumuige?
wewe umewahi kulipwa $1M? Kama hujawahi basi cha ajabu kipoKama ana maanisha yule waziri kijana niliyemtaja hapa Live on TBC: Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu! huyu utajiri wake ni wa familia ya kitajiri, hayo majumba, viwanja na magari, vyote alimiliki kabla ya kuteuliwa waziri!, ni mwanasheria na wakili, ikitokea wakili akasaini mkataba mmoja tuu, anaweza kulipwa hadi dola 1.M, sasa nini cha ajabu?!.
P
Naomba kulisema hili for the last time!Kwa hiyo utumishi wa umma wa wazazi wake ndiyo biashara? Huwezi kuwa billionaire kwa kazi ya kuajiriwa.
Kama hizo zipo kuna moja jamaa yangu ilimponyoka $250,000.00 .Hili sasa ndio swali gani?!, Baba ni kanali wa jeshi kwa miaka 10!, waziri kwa miaka 20!, rais kwa miaka 10!, mtaji mkubwa familia waliompa ni good education, sasa mtoto ni wakili anaweza kusaini mkataba mmoja tuu wa US$1.m!, what more do you want?!.
P
Kunilinganisha mimi na haya matakataka, mazagazaga na makorokocho ya kihivi sio kunitendea haki!.Wewe ni Lucas mwashamba mzee!!
mtu ukisoma nae shule moja, darasa moja au chuo kimoja, una chance ya kumjua kuliko wengi mnao msikia tuu!Kama ulisoma nae chuo haina maana unamjua.
Nimekuambia mtu kuwa wakili ana chances to strike just a single deal na akavuta hiyo US$1M, nikakuambia mawakili wengi tuu wamevuta such deals na nawajua, deals za watu ni bussines matters, sisi waandishi wa habari, kutakana na nature ya kazi zetu, we come across lots of privileged info za watu, hizo info zina kinga ya the confidentiality, hivyo they remain confidential, ila kwa vile ni kiongozi wa umma, wewe mwananchi una haki ya kuomba kukagua daftari lake la mali na madeni ambazo ame declare, nenda kakague!.Tutajie deal mmoja kubwa alilofanya mpaka avute hio 1M
Sio kila deal za uwakili ni kusimamia kesi!, na kwa kukusaidia tuu, mawakili wanaosimamia kesi mahakamani, wanafanya kitu kinachoitwa, litigations, ndio the poorest lawyers!, the best paid lawyers wanafanya legal opinions na conveyance!, huko ndiko unakutana na deal kubwa, unapiga US$ 1.m kwa a just a single deal.au kesi alizosimamia kama wakili.
With all due respect, unakwepa swali. Nami naishia hapa.Naomba kulisema hili for the last time!
Wahindi na Waarabu wanawarithisha mali watoto wao, sisi Waafrika tunawarithisha umasikini, wenzetu wazungu, wanawarisha elimu, they invest in good education, waweze kujitegemea, baba yake ni mzungu, amewarishisha wanae, good education, mtoto kapata elimu nzuri, kasoma chuo kizuri, kozi nzuri inayolipa, he is now making his own millions!
P
Hapa anayetajwa ni kondakita sio rizimokoNo mimi siku zote ni mkweli, tusikubali watu wasafi wachafuliwe kwa majungu!, dogo nimesoma nae chuo UDSM, tangu chuo yuko njema on family support, kisha kawa wakili, just a single deal wakili anaweza kuvuta mpaka US$1.M, hivyo kama ni huyo namjua anatoka familia bora!.
P
Makonda hana miaka 5 Kwenye Uwaziri,Hasadi kasema kijana kawa waziri miaka 5 kawa na ukwasi kibao.UNAKABIAA JUU SANA, UMEFUNGA UZI.
bila shaka uyu atakuwa yule aliyewahi kuwa msanii wa bongo fleva toka east coast team.....aliyeimba mimi na mabinti dam damView attachment 3614785
CAG Mstaafu Profesa Mussa Assad amedai kuna Waziri kijana Awamu hii ya Sita ana ukwasi wa kutish alipoingia tu madarakani.
Prof Assad amesema
"Namjua kijana mmoja Waziri, ana magari matatu ya Shillingi 300 kils mojs,ana gari aina ya Range Rover, ana flats(maghorofa) hapa Dar es salaam chungu nzima.
Unajiuliza hii miaka mitano, umefanya kitu gani cha kukupa hizi Dola Bilioni moja"
Nipashe June 24, 2026.
Je hii ni ile sera ya kula kwa urefu wa kamba?
Wajameni Waziri Kijana ni nani huyo nasi tumuige?