CAG Mstaafu Prof Mussa Assad: Kuna Waziri Kijana ana ukwasi wa kutisha miaka mitano tu madarakani!!

Naomba unitg uzi wako wa kulogwa kupo na uchawi upo nimeutafuta bira mafanikio
 
Namjua kijana mmoja Waziri, ana magari matatu ya Shillingi 300 kils mojs,ana gari aina ya Range Rover, ana flats(maghorofa) hapa Dar es salaam chungu nzima.
Unajiuliza hii miaka mitano, umefanya kitu gani cha kukupa hizi Dola Bilioni milioni moja"
Kwenye miaka hapo ndio pa kufungua code
 
Paschal .. ule uchambuzi wako ulioutoa nijuze tv. Kuhusu nani atakuwa nani 2030 ,,,video siioni tena ! ...nini shida?
 
Kitila Mkumbo anakwambia siyo kila mwenye ukwasi ni jambazi hata kama haijulikani ukwasi huo umetokana na nini.
Hiyo ndiyo akili ya washenzi hawa.
 
Pasco ni wakili ila hana hayo madude na mbaya zaidi ugali wake anaupata jambo TV ikiwa watasalimika kifungo pale wanapomuhoji. Kweli tunatofautiana
 
Kumekucha!!
 
Huyo anayegawia wengine atakuwa siyo bepari.
Bepari siku zote hagawii wengine; sana sana atakuwa anawanunua kwa sababu maalum ili azidi kujilimbikizia mali.
Kuna wengine hata "mungu" wanatafuta kumnunua!

Ni kweli kabisa, Ni muhimu kukumbushana kua Ujamaa, Uingozi kwa maslai ya Umma alikufa nao Nyerere.

JPM alijaribu kidogo kuurudisha, Kikamramba.
 
Atakuwa CCM hiyo kina Lukas mwashambwa na tlahtlah watakuja na ngojera za kibwege!
 
Na Kodi ya analipa?!
 
Sio dhambi kuwa na ukwasi endapo tu amezipata kwa njia ya uhalali.
 
Ametoka familia ya kitajiri!!? Utajiri huo ulikuwapo akiwa angali bado mdogo katika kipindi Baba yake akiwa bado hajawa hata waziri ama umekuja kuibukia kipindi baba yake akiwa rais?

Tatizo wasomi wa nchi hii wameamua kuwa machawa kwa mafisadi. Nchi imeingia katika mikataba mibovu na kutajirisha majizi yaliyolundikana katika chama tawala, kwa bahati mbaya watu wala hawangaishwi na jambo hili badala yake leo tunashuhudia wakisifiwa na kusujudiwa. na wasomi wa nchi hii.

Madudu yanafanyika na kufuja kodi za wananchi, lakini wasomi hawasumbuliwi na kadhia hii, hawajali hali ya umaskini uliotopea katika jamii pana ya mafukara wa Tanzania, badala yake wasomi wamebaki kuwasifia mijizi ambayo imejipa jina la uheshimiwa ama udaktari wa falsafa za heshima.

Wasomi ni lazima waamke katika lindi ya usingizi mzito waliolala utokanao na "socialism hangover". Kuwa msomi tunatarajia uwe "tool, alternative means, and agent of changing behaviour" kwa kutoo "critical critisms" ili taifa letu lipige hatua zaidi ya maendeleo endelevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…