Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Konda hajawa waziri miaka 5 iliyopita, ila ni kweli ni tajiri mkubwa, ila mafanikio yake ni kutoka mibaraka kwa Bwana, niliyazungumzia mafanikio yake kitambo Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la PembeniHapa anayetajwa ni kondakita sio rizimoko
Info nyingine tunazozipata kwa privilege ni private not for public consuption.With all due respect, unakwepa swali. Nami naishia hapa.
Mkataba wa kulipa $1 billion kihalali na kwa mtu mmoja haupo.Hili sasa ndio swali gani?!, Baba ni kanali wa jeshi kwa miaka 10!, waziri kwa miaka 20!, rais kwa miaka 10!, mtaji mkubwa familia waliompa ni good education, sasa mtoto ni wakili anaweza kusaini mkataba mmoja tuu wa US$1.m!, what more do you want?!.
P
legal fee ni 01-05% of cost,project moja ya just US$ 100 wakili anavuta US$ 1.mMkataba wa kulipa $1 billion kihalali na kwa mtu mmoja haupo.
Hiyo biashara ya wakilinkulipwa $1B ni biashara gani, unatoa service gani ya kisheria hapo?
Rushwa huwa wanaoitoa wana kuwa creative.
Unamsukumizia tuhuma nzito unaye mtetea, maana rushwa kwa watu wakubwa zinapitia kwa Makakili wasomi.
Sisi tulio katika biashara tunalijua hilo.
Tunaongea $1 billion mzee, kama CAG alivyosema.legal fee ni 01-05% of cost,project moja ya just US$ 100 wakili anavuta US$ 1.m
p
Ila. Hassad hajataja jina , Makond ni mlokole yule , hayo mamboo hana!Makonda hana miaka 5 Kwenye Uwaziri,Hasadi kasema kijana kawa waziri miaka 5 kawa na ukwasi kibao.