Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
AssadCAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali
Ninavynuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti
Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye maddu kibao inamhusu yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea
Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti.Huyu CAG ni mzembe.
Inakaguliwa na Kamati ya Bunge!Hivi ofisi ya CAG inakaguliwa na nani?
Halafu arudishwe professor Musa Assad na mutueleze Til 1.5 zilitumika kufanya nini. Kila aina ya takataka unayo iwaza kichwani mwako nilazima uilete hapa?CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali
Ninavynuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti
Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye maddu kibao inamhusu yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea
Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti.Huyu CAG ni mzembe.
Kwa kuwa ameibua uozo sio, vipi kama angekuja na yale mapambio yetu.CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali
Ninavynuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti
Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye maddu kibao inamhusu yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea
Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti.Huyu CAG ni mzembe.
Ndugayi ni LA....FA...sanaBunge huwa lina appoint auditor wa kukagua.
Uzuri swala la matumizi ya hela haliko kabisa kwa CAG (CAG siyo account officer) hivyo kumu-implicate ni ngumu.
Kipindi cha bifu la Assad na Jiwe, Ndungay alituambia kuwa mkaguzi aliyekagua ofisi ya CAG amekuta madudu na atayataja. Ambapo mpaka leo hajataja.
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali
Ninavynuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti
Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye maddu kibao inamhusu yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea
Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti.Huyu CAG ni mzembe.
Yeye anadhibiyi nini? hicho cheo cha udhibiti anadhibiti nini? kama kazi yake ni kukagua tu angeitwa Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali lakini anaitwa mdhibiti na mkaguzi.Yeye kakalia tu kukagua.Hiyo ya kudhibiti anamwachia nani na ripoti yake mbona hatoi anatoa ripoti tu ya ukaguzi tu?ni umeamka asubuhi ukaandika pumba au bado unaota?
udhibiti unafanyika na serikal kuu yeye anatoa mapendekezo tu. kazi inabaki serikali kuu wafanyie kazi au lah.
unampangia jina au unampingia kazi au? udhibiti unakuja kutokana mapendekezo yake.Yeye anadhibiyi nini? hicho cheo cha udhibiti anadhibiti nini? kama kazi yake ni kukagua tu angeitwa Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali lakini anaitwa mdhibiti na mkaguzi.Yeye kakalia tu kukagua.Hiyo ya kudhibiti anamwachia nani na ripoti yake mbona hatoi anatoa ripoti tu ya ukaguzi tu?
Huyu CAG mzembe atimuliwe hakufanya kazi ya udhibiti
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.
Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe, kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea.
Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti, kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti. Huyu CAG ni mzembe.
Hii mada iko juu ya uwezo wako wa akili kaa nayo mbaliWewe tulia hivyo hivyo kama unanyolewa, CAG piga kazi mkuu achana na machawa 🤣🤣🤣 wanataka utoe report inayosifu na kuabudu tuu. Mr kichere ukimaliza kaz nenda nyumba ya ibada kamsifu na kumuabudu Mungu aliezifanya mbingu na nchi yeye anastahili kuabudiwa 🙏
Hivi kumbe ni kweli vijana wengi wa CCM masomo yanayohusisha hesabu mliyakimbia? Mbona kila mtu toka huko akisikia hesabu analeta longolongo zisizo na kichwa wala miguu?CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.
Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe, kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea.
Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti, kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti. Huyu CAG ni mzembe.
Kwa hiyo tukububaliane kazi ya kudhibiti hajafanya.Mbona kwenye ripoti yake hakueleza hilo? Kuwa mimi.kama mdhibiti sikufanya udhibiti ndio masna mnaona haya madudu kwenye ripotiBudget na rasilimali watu bado havijamruhusu kufanya udhibiti.
Bila kukukagua ni udhibiti wa badbirifu wa aina Gani utafanyika,na nanna gani.Kwa hiyo hicho chao cha kuitwa mdhibitin ni utapeli au? Mbona anaitwa Mdhibiti?