CAG ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali. Kazi ya UDHIBITI hajaifanya ndio maana kuna madudu kibao kwenye ripoti yake, atimuliwe

Unajua kama na yeye anakaguliwa?
Kwa hiyo tukububaliane kazi ya kudhibiti hajafanya.Mbona kwenye ripoti yake hakueleza hilo? Kuwa mimi.kama mdhibiti sikufanya udhibiti ndio masna mnaona haya madudu kwenye ripoti
 
expand...
MATAGA mmepatwa na kiwewe.

Pambio mfululizo niaka 5 limewalemaza kabisa, mmekuwa vibudu. Jiwe aliwashika vibaya sana.

Mambo ya brainwashing na cultifollowing.

Niseme tu CORONA BABA LAO. Mtu kazikwa na mavi yake😂😂😂😂
 
Unajya maana ya ukaguzi na udhibiti wewe au unapayuka tu kama kasuku mwenye njaa?
 
Assad
Alifanya kama unavyoshauri lakini
Wapumbavu walimpiga vita
Assad alikuwa nsye anakagua tu na kutoa ripoti ya ukaguzi tu.
Tatizo lake lilikuwa kuanza kuropoka kuita vyombo vya habari kuongelea ripoti ya CAG kabla hajaiwakilisha bungeni
 
Nyie majitu ya ajabu ajabu sana yaani mnamchukia CAG kisa kayaanika mapungufu ya jiwe kuwa miradi mingi ilipigwa?

Watu kama nyinyi hamstahili kuwepo kwenye jamii ya watu walio staarabika kama tanzania.
 
Traumatized! Iko kwa shida with your brain.
 
Kweli wanaokuitaga punguani hawakosei.
 
Mlimtimua Pro Assadi mkapata nini. Angalieni mwisho wa siku mtajitimua wenyewe
Washazoeshwa kusifiwa tu hata wanafanya madudu.
Hivi kitendo cha CAG kuzisema ndege kuwa zinaingiza hasara kibao kwao imekuwa ni pigo kuu sana.

Na kama angekuwepo jiwe hiyo ripoti ingeandikwa anavyo taka jiwe.
 
Hakuwahi kufanya hivyo.
Shida ni kuwa Magu alikuwa anaiba live live na Assad akawaambia watu!!
Unakumbuka ile 1.5 trillion ambayo chakubanga alisema haijaiva???
Mungu ametenda maajabu
Assad slikuwa nsye anakagua tu na kutoa ripoti ya ukaguzi tu.
Tatizo lake lilikuwa kuanza kuropoka kuita vyombo vya habari kuongelea ripoti ya CAG kabla hajaiwakilisha bungeni
 
Soma vizuri,majukumu yake mkuu!
 
Majukumu ya CAG kwani ni yapi? Angeweza kweli kukataza ndege zisinunuliwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…