Ngoda95
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 2,683
- 4,900
Kupitia kumfahamu huko ndiko kumemfanya autilie Shaka uwezo wake.Unasema you know him better lakini hapohapo unasema tena una mashaka na uwezo wake! Tukuelewe je sasa?
Soma uelewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia kumfahamu huko ndiko kumemfanya autilie Shaka uwezo wake.Unasema you know him better lakini hapohapo unasema tena una mashaka na uwezo wake! Tukuelewe je sasa?
Kanyaga twende Mwenyekiti wangu.
Hii nchi pamoja na watu wake inakuhitaji sana
Viva Magufuri.
Afadhal saiv anauhakika wa ugali kwa five yearsHawezi mpaka miaka 5 iishe.
CAG aliyetoka alikuwa na elimu ya kutosha, experience ya kutosha + exposure kubwa.
Huyu wa sasa sijaridhika na CV yake kwa maana ya Elimu, Experience na Exposure.
Hizi nafasi nyingine zilipaswa kutangazwa watu waombe na vigezo vizingatiwe..
Na goli lenyewe limepanuliwa...Sasa mpira unachezwa pale golini kabisa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
Historia ya kichere akiwa HOF Tanroad na Magu inachangia..
Serikali haitaki kukosolewaKweli nimeamini sasa Magufuli ni Fisadi. Utawala huu ukiwa mtu makini unapigwa bench ila mazezeta wanapewa vyeo.
Upigaji umekuwepo tokea huko nyuma,ila sidhani outgoing CAG aliona madudu makubwa awamu iliopita he was blind or biased or incompetent.Lakini alizinduka usingizini awamu hii shida ipo hapo.Hakuna atakaesalimika endepo tu atakua kinyume na meko
Upigani ndio unapamba moto sasa
Kwa Mujibu wa katiba hicho ulichokisema hakiwezekani.Sio miaka mitano mkuu kumbuka utawala wa serikali hii kwa awamu yake unaisha mwakani hvyo si ajabu ukashangaa mwakani wakat raisi anaunda serikali mpya ukashangaa na yy asiwepo...yote yanawezeikana
I am short of words mkuu,kweli am shocked kwa kiasi flani kwa taarifa hii na uteuzi huu.Inasikitisha mno binafsi nimejifariji na kila jambo lina mwisho, nchi hii mtu mmoja anazungushwa kama mpira utadhani hakuna raia wengine wenye uwezo. Zaidi sana bora anayezungushwa huku na kule angekuwa competent. Hizi ni dharau
Kwani kazi za CAG unazijua Au unaropoka tu
Kila mtu anamisimamo yake(mapungufu yake) ila nikwamba yeye kosa lake alisema ukweli hadharaniSuala siyo kuitetea, alichokosea na kushindwa kujirudi kwa kuomba msamaha
Zaidi sana bora anayezungushwa huku na kule angekuwa competent. Hizi ni dharau
Slavery mentality boss wangu....!! Jitambue!!Hana fluency yoyote in English, English yake, mtoto wangu wa darasa la Saba ana nafuu
Kwan CPA inatafutwa wap? Kwa level yake akiamua kusoma si miez kadhaa Tu anaipata? Punguzeni unaaYaan hii ni kuinajisi CPA na Bodi ya wahasibu NBAA yaan mtu hata CPA hana leo anakua CAG
ACPA1450Hivi kichere ana CPA/ACCA?
Ni member wa NBAA?
nina maana yangu kuuliza hivi wakuu.
Lkn mkuu hapana sehemu imeonyesha kama anayo.Bila shaka mkuu ndo maana amehudumu kama auditor kwa muda mrefu
😆😆😆😆Kichere CAG [emoji1787]