CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Kwani kazi za CAG unazijua Au unaropoka tu
CAG aliyetoka alikuwa na elimu ya kutosha, experience ya kutosha + exposure kubwa.

Huyu wa sasa sijaridhika na CV yake kwa maana ya Elimu, Experience na Exposure.

Hizi nafasi nyingine zilipaswa kutangazwa watu waombe na vigezo vizingatiwe..
 
Sasa mpira unachezwa pale golini kabisa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Historia ya kichere akiwa HOF Tanroad na Magu inachangia..
Na goli lenyewe limepanuliwa...
Kama ushawahi kucheza cha ndimu utotoni utanielewa
 
Kweli nimeamini sasa Magufuli ni Fisadi. Utawala huu ukiwa mtu makini unapigwa bench ila mazezeta wanapewa vyeo.
Serikali haitaki kukosolewa
Screenshot_20191103-123753_Twitter.jpg
 
Hakuna atakaesalimika endepo tu atakua kinyume na meko

Upigani ndio unapamba moto sasa
Upigaji umekuwepo tokea huko nyuma,ila sidhani outgoing CAG aliona madudu makubwa awamu iliopita he was blind or biased or incompetent.Lakini alizinduka usingizini awamu hii shida ipo hapo.
 
Sio miaka mitano mkuu kumbuka utawala wa serikali hii kwa awamu yake unaisha mwakani hvyo si ajabu ukashangaa mwakani wakat raisi anaunda serikali mpya ukashangaa na yy asiwepo...yote yanawezeikana
Kwa Mujibu wa katiba hicho ulichokisema hakiwezekani.

Ingekua rahisi hivyo Prof Asad asingemaliza muda wake.
 
Inasikitisha mno binafsi nimejifariji na kila jambo lina mwisho, nchi hii mtu mmoja anazungushwa kama mpira utadhani hakuna raia wengine wenye uwezo. Zaidi sana bora anayezungushwa huku na kule angekuwa competent. Hizi ni dharau
I am short of words mkuu,kweli am shocked kwa kiasi flani kwa taarifa hii na uteuzi huu.

Sina Doubts pale NAO sitegemei kuwepo kwa competence,intergrity,Objectivity kwenye utendaji kazi wao kwa kipindi hiki cha mteule huyu.

Lkn pia kifo cha NBAA nakiona nje nje,Mpk 2025 watakua na hali mbaya sana/wameshakufa kabisa hopefully Boss Maneno anajionea mwenyewe nadhani Nbaa watakua wamerudi nyuma kama miaka 15 Nyuma.
 
"Tumo Kwenye nchi ambayo ili uielewe ,lazima ukasomee shahada ya uzamivu ya uwendawazimu"....By Julius Mtatiro 26 January 2018 at 15:30
JMT.jpg
 
Yaan hii ni kuinajisi CPA na Bodi ya wahasibu NBAA yaan mtu hata CPA hana leo anakua CAG
Kwan CPA inatafutwa wap? Kwa level yake akiamua kusoma si miez kadhaa Tu anaipata? Punguzeni unaa
 
Back
Top Bottom