Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
hapo kabla ilikuwaje ?
sasa ni muda mzuri kwa magufuli na vibaraka wake wa ccm kuimba hela kaa watakavyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa ni muda mzuri kwa magufuli na vibaraka wake wa ccm kuimba hela kaa watakavyo
Hapa ndipo nina poshindwa kumuelewa magufuri yaan haeleweki, kutwa kujipambanua kwamba anachukia wapigaji huku vichwa kama Assad anavichukiaKwa mtu mwenye mapenzi mema ya matumizi bora ya fedha za serikali CAG kama Assad angemuongezea muda ili kupunguza mianya ya matumizi mabaya ya fedha maana Prof. Assad alijipambanua kuwa ni mtu safi
Fuatilia matukio ! Polisi, hapo hapo ni TISSIpi na ipi mkuu
Bure ndo inawatoa akili au ulofa tu !?Akili tutapataje wkt tunasomeshwa kwny shule za elimu bure?
Huyu demu naona yuko Horny anakuja sumbua wanaume humu ndani.Kamlete mmeo afanye hiyo kazi
State agent
Huyu demu naona yuko Horny anakuja sumbua wanaume humu ndani.
Kamlete mmeo afanye hiyo kazi
State agent
mKUU wengi humu njaa zinawasumbua, wanaona wakipiga majungu watapunguza njaa kumbe sivyo. HuyU CAG mpya naimani atafanya mambo mazuri tu.Kajinga sana haka ,wanataka awe na uwezo gani
Aliushindwa ukamishna ataweza u CAG?wasalaam, kuna habari zinasambaa kwa kasi sehemu mbalimbali nchini kwamba CAG mpya mh kichere ni dhaifu kutoka na historia yake ya utendaji huko nyuma. Habari zinasema kwamba bwana kichere ni mtu wa ndio mzee na kuanzia sasa ukaguzi wa hesabu za serekali utafanywa na serikali yenyewe kwa maelekezo kutoka pale nyumba nyeupe.
Tusubiri muda ni rafiki huenda ni majungu tu labda watu wanazusha. Maendeleo yana vyama usipochagua ccm hakuna kuletewa maendeleo.
Ova.