long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,064
- 1,012
CAG ni Engineer kwani? Bora iongeze foleni huko kuliko Ubungo. Kuondoka kwa Stand kumefungua barabara mabasi yalikuwa yanaweka sana foleni sana. Ila kwa sasa huko iliko ni marekebisho ni kidogo tu ni kuweka underpath.
CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha.
Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni kati ya Ubungo na Kibaha.
Ukinizingua Nitakuzingua!
Lazima?CAG kama trafiki lazima akukute na kosa akikuchunguza.
Inatafakarisha adseAlibomoa hovyo jengo la tanesco kwa chuki tu pasipo sababu na chuki ndio imemua. Hakuna kitu kinachoua haraka Sana kama chuki, hasira, visasi inakumaliza na kuula moyo wako kwa haraka Sana.Jiulize why viongozi wa kiislamu wote still wangali hai tofauti na wakristo wote wamelala.
Gumu tu ndo tamu linakuwa na mnato wa kutosha binjuka basiMm langu gumu nigeuzie lako lain nijiliwaze
Yaani wewe zumbukuku mkuu kwa kuwa haikuwemo kwenye plan basi itaongeza msongamono? kwanini isipunguze msongamano, je ingabaki Ubungo ndio ingepunguza msongamano? kwa njia zipi kwani kuna tofauti gani Ubungo na Mbezi? wewe umenikumbusha wale maprofesa wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam waliokuwa wanapinga ujenzi wa hosteli ya Magufuli pale Sam Nujoma wakisema plan iliyopo si ya kujenga hosteli wakakenda mbali kuwa hiyo plan ilipitishwa na Mwalimu Nyerere, wakaulizwa na Mlimani City je ilijengwa wakati plan iliyopitishwa na Nyerere ikiwa bado? jibu likawa uduanzi.Tuache kufanya mambo kwa kutofikiri na hapo ndipo nitazidi kumkumbuka mwendazake JPM nitamkumbuka hadi kaburini.
CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha.
Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni kati ya Ubungo na Kibaha.
Ukinizingua Nitakuzingua!
hapo kamaliza kazi ya ndio maana ya CAGSolutions watupe sio kutuambia matatizo.
Sio kwenye hifadhi ya barabara, bali imejengwa barabarani kabisa, uwa nashangaa nikipita jinsi ile stand ilivyo barabaraniKwani stendi imejengwa ndani ya hifadhi ya barabara? Tunafahumu mbezi - kimara kulikuwa na bomoabomoa, sasa inakuwaje wenyewe wanajenga ndani ya hifadhi.
Jifunze kuandika bwashee!Yaani wewe zumbukuku mkuu kwa kuwa haikuwemo kwenye plan basi itaongeza msongamono? kwanini isipunguze msongamano, je ingabaki Ubungo ndio ingepunguza msongamano? kwa njia zipi kwani kuna tofauti gani Ubungo na Mbezi? wewe umenikumbusha wale maprofesa wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam waliokuwa wanapinga ujenzi wa hosteli ya Magufuli pale Sam Nujoma wakisema plan iliyopo si ya kujenga hosteli wakakenda mbali kuwa hiyo plan ilipitishwa na Mwalimu Nyerere, wakaulizwa na Mlimani City je ilijengwa wakati plan iliyopitishwa na Nyerere ikiwa bado? jibu likawa uduanzi.Tuache kufanya mambo kwa kutofikiri na hapo ndipo nitazidi kumkumbuka mwendazake JPM nitamkumbuka hadi kaburini.
Hahahah yaani acha tuuKila kona madudu. Alafu kulikuwa na hoja ya kuongezewa muda
Mbona nishakumwagia wadudu weupe/wazungu tayari...Gumu tu ndo tamu linakuwa na mnato wa kutosha binjuka basi
Huyo CAG huko ni ujipendekeza ama ni nini!!??
foleni zipo kwenye mahesabu anayokagua!!??
Huyu jamaa anamkaribia Profesa Asad ver sooon. Nimeanza kumwelewa huyu CAG.