babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Misenge sana hii mijitu, yalikua wapi kumwambia marehemu kabla asijenge.Kwahiyo irudishwe Ubungo... nchi ngumu sana hii
Kila kitu sasa mnatupia kaburi, Mlaaniwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misenge sana hii mijitu, yalikua wapi kumwambia marehemu kabla asijenge.Kwahiyo irudishwe Ubungo... nchi ngumu sana hii
Acha kufoka toa maoni yako.Angalia jinga hili hata halijielewi lishabebwa na upepo!!??
swala la foleni ni swala la CAG!!???
Kashakunywa mbege huyo!Acha kufoka toa maoni yako.
Suluhisho kwa watu kutokea kinyerezi kukwepa kile kifoleni cha pale chini njia ya kwendea malamba mawili,kuna barabara inatengenezwa iko kwa msuguri pale inatokea kifuru,kama una private car ukimchukua mgeni rudi njia ya kwenda ubungo hadi kwa msuguri,bonge la njia ya mkatoUnaijua foleni ya mbezi wewe? Kumbuka kuna kituo cha daladala na mwendokasi pia. Achilia magari ya watu binafsi. Ukishuka Mbezi bus terminsl saa 11 jioni mpaka ufike nyumbani Mbande ni saa 5 usiku. Hapo kuna wa Mkuranga n.k
Turudini ubungoHii nchi hiii
Ni mkaguz na mdhibiti. Yale ambayo yanapitishwa bungeni yeye ndo anahusika hasa kwenda kukagua, kuanzia hesabu, mipango miji, CV za wajumbe wa bod, wasimamiza sehemu mbalimbali na mengine mengi.Hivi CAG anakagua hesabu za serekali au kila kitu
Huyu jamaa anamkaribia Profesa Asad ver sooon. Nimeanza kumwelewa huyu CAG.Madikteta wote wana tabia za kufanana,hulazimisha wanavyotaka wao na si vingine
Kama lengo la mradi wa njia8 hadi kibaha uliotumia mabilioni ilikuwa kuondoa foleni, ujenzi stendi uelekeo huo ukaongeza foleni basi lengo la mradi halijatimia. Mradi usiotimiza lengo ni matumizi mabaya ya fedha za umma kwa mujibu wa CAG.Angalia jinga hili hata halijielewi lishabebwa na upepo!!??
swala la foleni ni swala la CAG!!???
Umeelewa alichoandika wewe msukuma au umekurupuka kama umechapwa finga???Angalia jinga hili hata halijielewi lishabebwa na upepo!!??
swala la foleni ni swala la CAG!!???
Kati ya shauri bora sana hiii, barikiwa sana ndugu. .................................................................................. kweli ndugu .....nikujenga barabara ya Mbezi luis - Msumi-Mabwe Pande Hadi BUNJU na upanda wa mloganzila Kisarawe - Gongola mboto hadii uko chanika -Mbagala ndio ufumbuzi ...wa uhakika na hizo barabara naona ni za lazima maana sioni ...mtu atoke bunju mbweni Bagamoyo arudi ubungo kweli? naomba Mamlaka isaidie ...kwa maendeleo ya nchi yetu.Ahsanteni.Mojawapo na solution ni ujenzi wa njia Mbezi shule mpaka Bunju via mabwepande ili mabus yote yaendayo kaskazini yapite hapo bila kurudi Morogoro road,
Pili njia ya Kibamba mpiji Magoe makabe njia panda ya Goba hii itakuwa Kama Mbezi bypass.
Lakini pia kutoka mloganzira kwenda kisarawe au kinyerezi hizi ziwe Kama bypass au ring road na mwisho ujunzi wa daraja mbezi
Finga nilishakufutika ww....Umeelewa alichoandika wewe msukuma au umekurupuka kama umechapwa finga???
Hizo zama za mabeberu zimepitaHuyu CAG atakuwa katumwa na MABEBERU😲😲