CAG: Stendi ya Magufuli, Kibamba itaongeza foleni ya magari

CAG: Stendi ya Magufuli, Kibamba itaongeza foleni ya magari

Unaijua foleni ya mbezi wewe? Kumbuka kuna kituo cha daladala na mwendokasi pia. Achilia magari ya watu binafsi. Ukishuka Mbezi bus terminsl saa 11 jioni mpaka ufike nyumbani Mbande ni saa 5 usiku. Hapo kuna wa Mkuranga n.k
Suluhisho kwa watu kutokea kinyerezi kukwepa kile kifoleni cha pale chini njia ya kwendea malamba mawili,kuna barabara inatengenezwa iko kwa msuguri pale inatokea kifuru,kama una private car ukimchukua mgeni rudi njia ya kwenda ubungo hadi kwa msuguri,bonge la njia ya mkato
 
Tatizo ya miradi hii jamaa alikua anajpangia afanye nn cha kujenga kwenye ma open space ya serikali akiamua ajenge sehem ya kubembea sawa tu MATAGA kaz yao ni kupga makofi tu
 
Tuendelee alipoachia mze .kuendelea kuchambua utamvunjia heshima marehemu.
 
Angalia jinga hili hata halijielewi lishabebwa na upepo!!??
swala la foleni ni swala la CAG!!???
Kama lengo la mradi wa njia8 hadi kibaha uliotumia mabilioni ilikuwa kuondoa foleni, ujenzi stendi uelekeo huo ukaongeza foleni basi lengo la mradi halijatimia. Mradi usiotimiza lengo ni matumizi mabaya ya fedha za umma kwa mujibu wa CAG.

Mfano amesema leo kuwa kuna ndege ilitumia mabilioni kukarabatiwa mwaka 2018, lakini kwenye ukaguzi kwenye hifadhi ya ndege za serikali 2020 akaikuta IMEPAKI na haijawahi kupiga kazi! Huu ni mfano mwingine wa matumizi mabaya ya fadha za umma.

Ukiacha ushabiki utajifunza mengi
 


Mojawapo na solution ni ujenzi wa njia Mbezi shule mpaka Bunju via mabwepande ili mabus yote yaendayo kaskazini yapite hapo bila kurudi Morogoro road,

Pili njia ya Kibamba mpiji Magoe makabe njia panda ya Goba hii itakuwa Kama Mbezi bypass.

Lakini pia kutoka mloganzira kwenda kisarawe au kinyerezi hizi ziwe Kama bypass au ring road na mwisho ujunzi wa daraja mbezi
Kati ya shauri bora sana hiii, barikiwa sana ndugu. .................................................................................. kweli ndugu .....nikujenga barabara ya Mbezi luis - Msumi-Mabwe Pande Hadi BUNJU na upanda wa mloganzila Kisarawe - Gongola mboto hadii uko chanika -Mbagala ndio ufumbuzi ...wa uhakika na hizo barabara naona ni za lazima maana sioni ...mtu atoke bunju mbweni Bagamoyo arudi ubungo kweli? naomba Mamlaka isaidie ...kwa maendeleo ya nchi yetu.Ahsanteni.
 
Uwazi!!! uwazi!!! Haya ndio mambo alikuwa hayataki Marehemu sasa taratibu tutayaona madhara yake yale ya jengo la tanesco yanaweza kujiludia
 
Back
Top Bottom