Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Hapana,kwakuwa wahusika wapo waanze kuzitapika tu,mahakama si tunazo,haya mambo ndio yanatucheleweshaLet gone be bygone, tuanze upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,kwakuwa wahusika wapo waanze kuzitapika tu,mahakama si tunazo,haya mambo ndio yanatucheleweshaLet gone be bygone, tuanze upya
What? Lazima wahusika wawajibishwe kwa ufisadi huu mkubwa.
Hakuna cha let gone wala mafi yake hapa.
HuyoKigwa hajajibu huko twitter!?
Hii nchi kwel mtu akipata nafasi achukue chake mapema, kwenye ayo malipo lzm alikuw na 10% yake
Halafu kuna ile nyingine ya 2.5b ilimalizwa'kimilla'Hii nchi kwel mtu akipata nafasi achukue chake mapema, kwenye ayo malipo lzm alikuw na 10% yake
[emoji23][emoji23][emoji23] Mzee alikua mpigaji wa kiwango cha MarsKumbe mweshimiwa alikua ‘ntu ya dili’
Haya yote ni mazao ya jpm sio mwingineHuyu jamaa alikuwa wpi kipindi cha marehemu JPM? Mbona anataka kutuchonganisha na mwenda zake .
Unaweza kukuta hata wasafi wenyewe walipigwa na udalali.Ndio maana Wasafi masaa 24 wako bize kumuenzi yule wanayemuita shujaa wa Africa.
Hawa si wapo? Wazirejeshe tu hakuna namna nyingine! Dpp fanya jukumu lako hapa kwani ndio jukumu lako! Ile mahakama ya mafisadi inaelekea kupata wateja wa kutosha Sasa! Dpp amka fanya kazi yako kwani ushahidi unao na huhitaji uchunguzi mwingine!Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na mkataba wowote uliosainiwa.
Wizara hiyo ililipa fedha hizo kwa ajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita nchini Tanzania.
Akizungumza leo Alhamisi Aprili 8, 2021 katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma CAG, Charles Kichere amesema, “Wizara ililipa Sh140 milioni kwa kampuni ya Wasafi kwaajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita, hata hivyo hakukuwa na mkataba wowote uliosainiwa baina ya wizara na kampuni ya Wasafi na kushindwa kuhakiki wigo na huduma iliyotolewa na kampuni ya Wasafi.”
Amesema kiasi hicho cha fedha kilicholipwa kwa Wasafi hakiendani na sheria za matumizi ya fedha za umma.
Amebainisha upungufu uliobainika katika uanzishwaji wa tamasha la Urithi haukuwa na nyaraka zilizowasilishwa kwa ajili ya ukaguzi kuhusu matumizi hayo pamoja na Sh487 milioni zilipelekwa kwenye taasisi saba na kwamba hakukuwa na nyaraka zilizowasilishwa kudhibitisha matumizi hayo.
“Matumizi ya Sh585 milioni yaliyolipwa na mhasibu wa mfuko wa tozo ya maendeleo ya utalii hayakuwa na nyaraka toshelezi na kushindwa kudhibitisha uhalali wa malipo hayo,” amesema
Chanzo: Mwananchi Online
😂😂😂 sitashangaa mkuu.Unaweza kukuta hata wasafi wenyewe walipigwa na udalali.
Nje ya box yupo aliifanya wizara kama mali yake,sote tunakumbuka ugomvi wake na katibu mkuu wake, halafu leo hii ndio wa kwanza kumnanga mwendazake akijifanya msafi, si ajabu hata hao Wasafi hawakupata kitu.Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na mkataba wowote uliosainiwa.
Wizara hiyo ililipa fedha hizo kwa ajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita nchini Tanzania.
Akizungumza leo Alhamisi Aprili 8, 2021 katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma CAG, Charles Kichere amesema, “Wizara ililipa Sh140 milioni kwa kampuni ya Wasafi kwaajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita, hata hivyo hakukuwa na mkataba wowote uliosainiwa baina ya wizara na kampuni ya Wasafi na kushindwa kuhakiki wigo na huduma iliyotolewa na kampuni ya Wasafi.”
Amesema kiasi hicho cha fedha kilicholipwa kwa Wasafi hakiendani na sheria za matumizi ya fedha za umma.
Amebainisha upungufu uliobainika katika uanzishwaji wa tamasha la Urithi haukuwa na nyaraka zilizowasilishwa kwa ajili ya ukaguzi kuhusu matumizi hayo pamoja na Sh487 milioni zilipelekwa kwenye taasisi saba na kwamba hakukuwa na nyaraka zilizowasilishwa kudhibitisha matumizi hayo.
“Matumizi ya Sh585 milioni yaliyolipwa na mhasibu wa mfuko wa tozo ya maendeleo ya utalii hayakuwa na nyaraka toshelezi na kushindwa kudhibitisha uhalali wa malipo hayo,” amesema
Chanzo: Mwananchi Online
Hata mimi nakubaliana nawe , kwa ahadi kuwa watapewa dili lingine,katibu mkuu na waziri wote wapo na sasa katibu mkuu ni waziri na aliyekuwa waziri kawa mchunga ng'ombe,hawa wote wapo na Wasafi nao wapo ,mahakama zipo, tuanzie hapo .😂😂😂 sitashangaa mkuu.