CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

Ingekuwa wale tunaowaita wanafiki na wale wasiojitambua na wale wachumia tumbo.wanaopenda kusapoti ili mradi wabaki madaraka.kwa kuwa ni wao waliosapot ujinga kama huu na miradi ya hovyo wawajibishwe kwa namna yoyote ile ili kusiwepo na ujinga kama huu tena
Hapa dawa kubwa ni kupata katiba mpya ndiyo itakuwa suluhisho
 
Mkuu uwanja uko karibu kukamilika kwa 100% ukiwa na majengo mazuri ya standard ya juu kabisa duniani. Sasa nakushauri unywe sumu ufe lasivyo utakufa na stress bure. Na sisi wanakanda ya ziwa tunautumia sana tukiwa tunaenda Chato. Kwahiyo wewe bibi kizee tuliza mshono!
Corona bado ipo sana
 
Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.

Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.

--
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema gharama za ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita zilizidi bajeti iliyotengwa kwa sababu ulifanyika bila upembuzi yakinifu.

CAG alisema kutofanyika kwa upembuzi yakinifu kunaongeza hatari kwa Serikali kuwekeza katika mradi usio na tija na uwezekano wa kuwapo gharama zisizodhibitiwa na ongezeko la muda katika utekelezaji wake.

“Mpatio yangu yalibaini Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) hawakufanya upembuzi yakinifu kabla ya kuanz aujenzi,” amesema Kichere.

CAG Kichere amesema Sh3.62 bilioni za mradi huo zilitolewa kwenye miradi mingine kwa matarajio kwamba zingerejeshwa baada ya Hazina kutoa fedha zake, jambo ambalo halikutekelezwa kwa wakati hivyo kusimamisha miradi mingine iiliyopangwa.
Kichere anamponda kiongozi wa malaika kha😂😂😂😂😂
 
Hivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida

Sent using Jamii Forums mobile app

Badala ya kuona jinsi gani uwanja huo utatumika kuinua utalii wa buruji na nduguze wao wamekalia kuangalia mapungufu. Kama ni kujengwa umesha jengwa hawana chakufanya ili kuzuia usijengwe.
 
Lakini hapakuwa na tozo nyingi, vile vile bei ya vitu havikupanda

Na ashukuriwe Mungu wa Mbinguni JPM katutojlka wakati vita ya corona ilisha iongoza kwa 95%. Angetutoka ikiwa ndio 1-5% tuseme. Tungefungiwa ndani kwa lazima/ lockdown ya lazima sisi kama wangetokea wa wakula watoto wao wangekula.
 
Na ashukuriwe Mungu wa Mbinguni JPM katutoja wskati vita ya corona ilisha iongoza kwa 95%. Angetutoka ikiwa ndio 1-5% tuseme. Tungefungiwa ndani kwa lazima/ lockdown ya kazima sisi kama wangetokea wa wakula watoto wai wangekula.
Madhara ya corona ni makubwa kuliko mgogoro kati ya Russia na Ukraine lakini vitu havikupanda bei kipindi cha corona
 
1649974941491.png
 
Back
Top Bottom