Cairo: Jiji lenye wakazi zaidi ya milioni 23 bila kuwa na miti hata ya kivuli

Cairo: Jiji lenye wakazi zaidi ya milioni 23 bila kuwa na miti hata ya kivuli

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Maisha ya Cairo ni tofauti na Dar es salaam au Nairobi kijiografia na uoto wa asili. Ni jiji wakazi milioni 23 na ukame wa nyasi hadi miti. Hali ya hewa ni joto kali na Bado wenyeji wana utamaduni wa kunywa kahawa na chai mchana bila kusahau shisha..Ni Bora zaidi kuishi miji ya East Africa kwa afya, ustawi wa mimeo na mifugo

Imagine you live in Cairo. 23 million people. No trees, no grass. Starving stray dogs roam the streets. It’s late July. No air conditioning. Sandstorms & pollution so bad you choke when you breathe. Crammed into a studio apartment w/ a dozen surly relatives. What do you do?
 

Attachments

  • IMG_20250429_201340.jpg
    IMG_20250429_201340.jpg
    209.4 KB · Views: 44
  • IMG_20250429_201456.jpg
    IMG_20250429_201456.jpg
    151.9 KB · Views: 36
  • IMG_20250429_201440.jpg
    IMG_20250429_201440.jpg
    652 KB · Views: 41
DODOMA hii hii ya tanzania ambayo hata leo tarehe 29 Aprili mvua imepiga na kuzaja madimbwi? Dodoma hii hii ya kijani.

Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa Jangwa la Sahara? Cairo ndo ipo ndani ya jangwa hilo kubwa zaidi na kame zaidi duniani
Cairo ina msimu wake wa mvua pia.
 
Cairo ina msimu wake wa mvua pia.
Cairo haina mvua. Ndo maana hata barabara zao hazina njia za kuitoa maji. Ila Cairo pana msimu wa baridi kali sana kuanzia miezi ya Novemba hadi Aprili, but hamna mvua, Ni mji ulipo jangwani lakini wenye huduma zote muhimu kwa kiwango cha ubora wa juu kuliko sisi tulio na majira ya mvua.
 
Dodoma si pakame watu wamekariri hapa na nina shamba la zabibu, alizeti na mahindi yanastawi vyema.

Hata hali ya hewa si joto ni baridi.
Dodoma ni nusu jangwa, ni pakame, kuna miti kibao ya miba miba ya jangwani, Nimekaa sana Udom na ku tembelea maeneo mbalimbali ya huo mji.

Pia karibia majangwa yote yana joto kali sana na Baridi sana inategemea na mda gani, kuna majangwa yana hadi barafu.
 
Dodoma ni nusu jangwa, ni pakame, kuna miti kibao ya miba miba ya jangwani, Nimekaa sana Udom na ku tembelea maeneo mbalimbali ya huo mji.

Pia karibia majangwa yote yana joto kali sana na Baridi sana inategemea na mda gani, kuna majangwa yana hadi barafu.
Nenda kafanye ziara ya kuiona jangwa then uje kutuambia Dodoma nusu jangwa au nusu paradisho. Ni uhakikahujawahi kukanyaga ardhi ya jangwa.

Jangwa bako kjisikia tu kwa wengine. Mimi nimewahi kuiona jangwa la Sahara nikitiokea Cairo hadi Aswan to Sudan.
 
Back
Top Bottom