Cairo: Jiji lenye wakazi zaidi ya milioni 23 bila kuwa na miti hata ya kivuli

Cairo: Jiji lenye wakazi zaidi ya milioni 23 bila kuwa na miti hata ya kivuli

Unapiga picha vingunguti unasema Dar haina miti?

Kama hujafika Cairo unaweza dhan unachokisema ni kweli,

Cairo is Beautiful, Dar is Beautiful, Nairobi is Beautiful...

Tofaut ya Cairo ni extreme weather...either baridi sana au joto sana, tofaut na Dar au Nairobi.
 
Nenda kafanye ziara ya kuiona jangwa then uje kutuambia Dodoma nusu jangwa au nusu paradisho. Ni uhakikahujawahi kukanyaga ardhi ya jangwa.

Jangwa bako kjisikia tu kwa wengine. Mimi nimewahi kuiona jangwa la Sahara nikitiokea Cairo hadi Aswan to Sudan.
Sasa wewe kusafiri kwako Egpty kunahusiana nini na Dodoma kuwa nusu Jangwa ama la?

Aliesema Dodoma ni nusu jangwa sio mimi, ni wataalam wote Duniani, kuanzia ukiwa shule unafundishwa, Ukisoma vitabu vyote vya Geography utaona, kitu ambacho kipo wazi kama hicho hakipingwi na wewe kusafiri.
 
Cairo haina mvua. Ndo maana hata barabara zao hazina njia za kuitoa maji. Ila Cairo pana msimu wa baridi kali sana kuanzia miezi ya Novemba hadi Aprili, but hamna mvua, Ni mji ulipo jangwani lakini wenye huduma zote muhimu kwa kiwango cha ubora wa juu kuliko sisi tulio na majira ya mvua.
Mkuu unaposema Cairo haina mvua unamaanisha mvua hainyeshi kabisa katika mji huo?
 
Cairo ni jangwa lakini wananchi wote wanapata huduma za kijamii kama maji,umeme n.k Kwa 100% lakini Nchi yenye vyanzo lukuki vya maji na ambayo siyo jangwa(Tanzania) watu hawana maji na vyoo
Inasikitisha sana.
 
Hivi huwa mnatuonaje humu ndani???
Dogo cairo mbona miti ipo kibao na mvua inanyesha kwa wastani wa eneo lao kijiografia
 
Cairo vs Dodoma; upi unauzidi mwingine kwa ukame?
Sasa aliyekuambia Dodoma kame nani?
Unaijua Dodoma au unaongea ongea tu.

Kuna Dodoma na Jiji la Dodoma, ujue kitofautisha. Km umefananisha na Cairo basi ni Jiji la Dodoma ambako hamka ukame, miti imejaa
 
Back
Top Bottom