Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Cairo vs Dodoma; upi unauzidi mwingine kwa ukame?
Dodoma si pakame watu wamekariri hapa na nina shamba la zabibu, alizeti na mahindi yanastawi vyema.Cairo vs Dodoma; upi unauzidi mwingine kwa ukame?
Cairo ni Jangwani ,,,dodoma kuna dalili tu za jangwaCairo vs Dodoma; upi unauzidi mwingine kwa ukame?
Dodoma kuna miti mizuri na mingi tu, si bora hata ungefananisha na Sudani huko?Cairo vs Dodoma; upi unauzidi mwingine kwa ukame?
Dodoma si pakame watu wamekariri hapa na nina shamba la zabibu, alizeti na mahindi yanastawi vyema.
Hata hali ya hewa si joto ni baridi.
Ila Dodoma pakame sana hasa ule msimu wa mavumbi hapapendezi kabisa.Cairo ni Jangwani ,,,dodoma kuna dalili tu za jangwa
Upepo na vumbi lile panachukiza sana.Dodoma kuna miti mizuri na mingi tu, si bora hata ungefananisha na Sudani huko?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
DODOMA hii hii ya tanzania ambayo hata leo tarehe 29 Aprili mvua imepiga na kuzaja madimbwi? Dodoma hii hii ya kijani.Cairo vs Dodoma; upi unauzidi mwingine kwa ukame?
Fafanua ulichoelewa.Sasa nimeelewa kwanini capetown inatajwa kuwa ni jiji zuri kuliko yote barani Africa.
Cairo ina msimu wake wa mvua pia.DODOMA hii hii ya tanzania ambayo hata leo tarehe 29 Aprili mvua imepiga na kuzaja madimbwi? Dodoma hii hii ya kijani.
Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa Jangwa la Sahara? Cairo ndo ipo ndani ya jangwa hilo kubwa zaidi na kame zaidi duniani
Cairo haina mvua. Ndo maana hata barabara zao hazina njia za kuitoa maji. Ila Cairo pana msimu wa baridi kali sana kuanzia miezi ya Novemba hadi Aprili, but hamna mvua, Ni mji ulipo jangwani lakini wenye huduma zote muhimu kwa kiwango cha ubora wa juu kuliko sisi tulio na majira ya mvua.Cairo ina msimu wake wa mvua pia.
Dodoma ni nusu jangwa, ni pakame, kuna miti kibao ya miba miba ya jangwani, Nimekaa sana Udom na ku tembelea maeneo mbalimbali ya huo mji.Dodoma si pakame watu wamekariri hapa na nina shamba la zabibu, alizeti na mahindi yanastawi vyema.
Hata hali ya hewa si joto ni baridi.
Nenda kafanye ziara ya kuiona jangwa then uje kutuambia Dodoma nusu jangwa au nusu paradisho. Ni uhakikahujawahi kukanyaga ardhi ya jangwa.Dodoma ni nusu jangwa, ni pakame, kuna miti kibao ya miba miba ya jangwani, Nimekaa sana Udom na ku tembelea maeneo mbalimbali ya huo mji.
Pia karibia majangwa yote yana joto kali sana na Baridi sana inategemea na mda gani, kuna majangwa yana hadi barafu.