Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Mkuu naomba tuhusike na maada ya mezani inayojikita kujua sababu hani kwamba hata kama nchi ina 80 % wakristo , waislam wanakuwa huru lakini nchi ikiwa hata na 55% muslims basi christians wanaminywa,

Nadhani hilo ndio lengo la maada, sio statistics

Kuhusu mada iliyopo mezani...
Chanzo cha msingi cha Chuki ya Waislam juu ya Wakristo ni zile Nchi zinazojiona Taifa la kwanza
wanaojengea Chuki wananchi wa Nchi za Kiislam na pengine kuzipiga Nchi zenye Waislam wengi/za Kiarabu kwa sababu dhaifu za kuunga unga.
Nchi hizo za ulimwengu wa juu zimekuwa zinajenga chuki juu ya Waislam pamoja na kupeleka mamluki wa kuzichonganisha ili Vita ianze na wao kutoa silaha kwa kundi moja wapo ili tu kudhoofisha Dola ya kiislam....wakati hayo yakitokea kumekuwa na baadhi ya Wakristo au niseme kundi kubwa la Wakristo kwa kujua au kutokujua hufurahia sana kinacho endelea katika Nchi hizo zenye Waislam wengi
Matokeo yake, baadhi ya Waislam hushindwa kujizuia hisia zao na hivyo kupelekea uhasama unaaendelea Duniani kwa sasa......
 
Kuhusu mada iliyopo mezani...
Chanzo cha msingi cha Chuki ya Waislam juu ya Wakristo ni zile Nchi zinazojiona Taifa la kwanza
wanaojengea Chuki wananchi wa Nchi za Kiislam na pengine kuzipiga Nchi zenye Waislam wengi/za Kiarabu kwa sababu dhaifu za kuunga unga.
Nchi hizo za ulimwengu wa juu zimekuwa zinajenga chuki juu ya Waislam pamoja na kupeleka mamluki wa kuzichonganisha ili Vita ianze na wao kutoa silaha kwa kundi moja wapo ili tu kudhoofisha Dola ya kiislam....wakati hayo yakitokea kumekuwa na baadhi ya wakristo au niseme kundi kubwa la wakristo kwa kujua au kutokujua kufurahia sana kinacho endelea katika Nchi hizo zenye Waislam wengi
Matokeo yake baadhi ya Waislam hushindwa kujizuia na hivyo kuleta uhasama unaaendelea kwa sasa......

Unamaamisha nini kusema dola ya kiislamu ? Jamaa ameweka mfano wa zanzibar kuchapa mtu

Je zanzibar ni dola ya kiislamu ?
 
Unamaamisha nini kusema dola ya kiislamu ? Jamaa ameweka mfano wa zanzibar kuchapa mtu

Je zanzibar ni dola ya kiislamu ?
Rudia tena kusoma....
"Matokeo yake baadhi ya Waislam hushindwa kujizuia na hivyo kuleta uhasama unaaendelea Duniani kwa sasa...
 
unaona mnavyo unga unga data?
Wakristo sio wengi Duniani kama unavyofikiri.
Kuna mmoja alikuja hapa akifikiri Mataifa yenye nguvu Duniani yanaongoza kwa wakristo; kupewa data akabaki mdomo wazi
Ukifuatilia hata huko Israel ndio utashangaa; hakuna wakristo huko sijui ndio wanakaribia 2%
Sijawahi kubishana. Your right
 
nna imani yangu kwa muumba wangu

sina haja ya kupruvu kwa yeyote juu ya imani yangu

wew amini unachoamini niache nibaki na imani yangu

kwanza imani zenyewe tumezikuta na tutaziacha

kiukweli mm sio mshabiki wa nyuzi kama hizi

maana mara nyingi nyuzi kama hizi hazina mwisho mzuri

ikiwezekana uzi ufutwe
 
Acha Uongo uislamu ndio dini inapigwa vita dunia nzima ...Kama unabisha fuatilia documentaries mbalimbali.

China walichoma waislamu na israel mpaka wakina Messi walikuja juu, Benzene na Mesut ozil wamepitia tabu sana huko France ..

Voice ya waislamu huwzi kuzisikia kwa vile zinazibwa na media kubwa ulimwengu ,kama uislamu ingekuwa sio Mungu imeshakufa just imagine nchi kubwa zote ni anti islamic ,hapo South Africa miaka ya nyuma waislamu walipata tabu sana.

Nyerere katesa waislamu hapa nchini .
 
nna imani yangu kwa muumba wangu

sina haja ya kupruvu kwa yeyote juu ya imani yangu

wew amini unachoamini niache nibaki na imani yangu

kwanza imani zenyewe tumezikuta na tutaziacha

kiukweli mm sio mshabiki wa nyuzi kama hizi

maana mara nyingi nyuzi kama hizi hazina mwisho mzuri

ikiwezekana uzi ufutwe
Unataka uzi ufutwe kwa personal issues zako na imani zako.

Imani zako na Mungu wako baki navyo moyoni mwako.

JF is an Open forum. Uhuru wako unaotumia kumtangaza huyo Mungu ndio uhuru huohuo unatumika hata kwa wale wanao mpinga huyo Mungu.

JF sio Kanisani au msikitini

The thread is here to stay, Uzi haufutwi.
 
Kuhusu mada iliyopo mezani...
Chanzo cha msingi cha Chuki ya Waislam juu ya Wakristo ni zile Nchi zinazojiona Taifa la kwanza
wanaojengea Chuki wananchi wa Nchi za Kiislam na pengine kuzipiga Nchi zenye Waislam wengi/za Kiarabu kwa sababu dhaifu za kuunga unga.
Nchi hizo za ulimwengu wa juu zimekuwa zinajenga chuki juu ya Waislam pamoja na kupeleka mamluki wa kuzichonganisha ili Vita ianze na wao kutoa silaha kwa kundi moja wapo ili tu kudhoofisha Dola ya kiislam....wakati hayo yakitokea kumekuwa na baadhi ya Wakristo au niseme kundi kubwa la Wakristo kwa kujua au kutokujua hufurahia sana kinacho endelea katika Nchi hizo zenye Waislam wengi
Matokeo yake, baadhi ya Waislam hushindwa kujizuia na hivyo kuleta uhasama unaaendelea Duniani kwa sasa......
Sikia ndugu kabla ya hawa jamaa kuingia nchi za kiislamu palikuwa tulivu ,ubaya wa wakristo wanataka kulazimisha tamaduni zao za hovyo ulimwengu.

Vita ya kwanza duniani walichapana ila Adolf Hitler pamoja na kuwaua mamilion ya waisrael mpake leo hajawahi kuitwa "Gaidi" ...Hawa jamaa wanalazimisha domination hapo lazima pawe na tatizo.

Wanapandikiza watawala weny itikadi zao kweny nchi za watu yaani mpaka korea kule wanazidi kufitinsha majirani ,hapo china bado wanachochoa .

Dunia haitokuwa sawa mpaka hawa watulie nchi mwao ,Qur an ilishasema hawa ni chanzo cha matatizo na hawafai kabisa kuwa duniani kama hawatobadili.

Leo hapo USA uislamu unakuwa kwa kasi yale majimbo yenye waislamu wengi hata vurugu hakuna.
 
can there be co existance ??
This is a broad question with limitless boundaries. Islam in itself is not monolithic and could not find internal harmony. Since the death of Mohammed S.A.W, Moslems have been on each other's throats fighting brutal wars over petty doctrinal differences and control of the caliphate, how do you expect such people to have harmony with non-moslems ?

Both Sunnis and Shiites claim to worship Allah, yet they cannot stand the sight of each other or stay under the same roof peacefully. You ask Sunnis, they'll tell you Shiites are heretics who deserve nothing short of death by the sword, and vice-versa is true for Shiites calling Sunnis greedy usurpers.

Islam needs to shed away the cocoon of Medievalism and evolve, just like Judaism, Catholicism and Protestantism, which were brutal cults that caused death, destruction, misery and suffering all over the world claiming doctrinal and church authority over other religious sects. If you ask me, I will tell you that Catholics are the nastiest, vilest and most wretched religious fanatics to ever crawl out of the mud, they're worse than Moslems, but time and unfavourable circumstances made them adapt to modernity.

Islam is still stuck in the 7th Century, with some fanatics flirting with revanchist dreams of bringing back the Bloody Caliphate which would wreck mayhem against the multitude of Godless kaffirs around the globe. And if it wasn't for major powers like America, Britain, Russia and China who help in keeping the eagles at Bay, Moslems would have embarked on a Bloody Rampage of forcible conversions and genocide, just like The Ottoman Turks did to Armenian Christians during WWI.​
 
Umeanza na mji, na wakati umeambiwa utaje Nchi, au hujui maana ya neno City?
By the way robo tatu ya ulivyo taja ni visiwa vingine vidogo kuliko Zanzibar au niseme vidogo kama Wilaya moja ya Tanzania
We kichwa chako kibovu komaa na kusoma ilimu dunia yale maandishi ya kutoka kulia kwenda kushoto sio mazuri
 
Kuhusu mada iliyopo mezani...
Chanzo cha msingi cha Chuki ya Waislam juu ya Wakristo ni zile Nchi zinazojiona Taifa la kwanza
wanaojengea Chuki wananchi wa Nchi za Kiislam na pengine kuzipiga Nchi zenye Waislam wengi/za Kiarabu kwa sababu dhaifu za kuunga unga.
Nchi hizo za ulimwengu wa juu zimekuwa zinajenga chuki juu ya Waislam pamoja na kupeleka mamluki wa kuzichonganisha ili Vita ianze na wao kutoa silaha kwa kundi moja wapo ili tu kudhoofisha Dola ya kiislam....wakati hayo yakitokea kumekuwa na baadhi ya Wakristo au niseme kundi kubwa la Wakristo kwa kujua au kutokujua hufurahia sana kinacho endelea katika Nchi hizo zenye Waislam wengi
Matokeo yake, baadhi ya Waislam hushindwa kujizuia na hivyo kuleta uhasama unaaendelea Duniani kwa sasa......
Pumba
 
This is a broad question with limitless boundaries. Islam in itself is not monolithic and could not find internal harmony. Since the death of Mohammed S.A.W, Moslems have been on each other's throat fighting brutal wars over doctrinal differences and control of the caliphate, how do you expect such people to have harmony with non-moslems ?

Both Sunnis and Shiites claim to worship Allah, yet they cannot stand the sight of each other or stay under the same roof peacefully. You ask Sunnis, they'll tell you Shiites are heretics who deserve nothing short of death by the sword, vice-versa is true for Shiites.

Islam needs to shed away the cocoon of Medievalism and evolve, just like Judaism, Catholicism and Protestantism, which were brutal cults that caused death, destruction, misery and suffering all over world claiming doctrinal and church authority over other religious sects. If you ask me, I will tell you that Catholics are the nastiest religious fanatics to ever crawled out of the mad, they are worse than Moslems, but time made them adapt to modernity.

Islam is still stuck in the 7th Century, with some fanatics bearing revanchist dreams of bringing back the Bloody Caliphate.​
Ndio maana kijana elimu ni muhimu sana...Sunn na shia wanapigana katika uongozi sio dini ..

Hata ukristo unapigana kweny Uongozi tena wanapingana daima ,koo za sunn na shia ni jamii ila sio sehemu ya uislamu kama ni sehemu ya uislamu nionyeshe kweny Qur an au Hadith!?

Mtume hajakufa kweny vita ila ilikuwa kipind cha vita , hakuna vita iliyaonzishwa na waislamu kwa sababu waislamu walikuwa dhaifu dhidi ya utawala uliopo sema watawala washirikina na makafiri ndio walianzisha vita ,Mtume alikuwa akifuata maelezo kuna sehemu alipigana kuna sehemu alipewa amri afanye kuhama...kumbuka alihama Mecca kwenda Madinnah yote yalikuwa ni maelekezo huku akitafutwa.

Kumbuka Mtume huyo amekufa na ngeu za kupigwa mawe ,ni vita gani waislam waliianzisha katika historia?

Nchi za kiislamu zilikwua zinaishi peacefully mpaka walipoingia makafiri kwa kuleta mifumo ya western kama , inawezekanaje kama ukristo umeanishwa mashariki ya kati na dini zote ,je inakuwa waislamu wawe wengi bara la Asia despite ya kuwa na dini nyingine mpaka Hindu ndio imetokea huko.

Wakristo wana chuki ndio maana wanaungana na mazayuni kuwaua waislamu ,Qur an ilishasema wakristo wao wanawaona kwamba mazayuni ni ndugu zao ...Qur an haidanganyi ona leo eti wakristo wanajifanya mazayuni ni ndugu zao licha ya kumtesa hata Mungu wao yesu😅😅😅
 
Ndio maana kijana elimu ni muhimu sana...Sunn na shia wanapigana katika uongozi sio dini ..

Hata ukristo unapigana kweny Uongozi tena wanapingana daima ,koo za sunn na shia ni jamii ila sio sehemu ya uislamu kama ni sehemu ya uislamu nionyeshe kweny Qur an au Hadith!?
Huo uongozi wanaogombania ni wa nini na ulianza lini ?​
 
Huo uongozi wanaogombania ni wa nini na ulianza lini ?​
Unajua hao watu wanatokea sehemu gani ?😅😅Sunn na shia hawapo kweny vitabu vya waislamu na uislamu unatambua madhehebu ni upotofu kwa vile hakuna kitu kama hicho ..

Sunni na shia wametokana na koo mbili zilizotaka kutawala yaani kusimamisha uongozi wa kutawala ila hawana uhusiano na uislamu ,kama vile CCM na Chadema ngoma haikai chungu kimoja.

Jamii hizi ziliibuka tena baada ya maswahaba wakawa wanashindqa kukubaliana nan awe kiongozi ,watu walikuwa wanaamini swahaba fulani ambaye ni jamii yake yaani kama ndugu kwamba wao wameachiwa uongo na wengine wanataka mtu wa kwao.

Mtume alikuwa Quraeh ni kabila au jamij ndogo watu walimkubali ila baada ya kuondoka na utawala wa Abubakar kuondoka nao ,yale makabila makubwa ndio yalitaka kutawala yenye nguvu.

Kujiita shia au sunn sio uislamu kwa vile hao ni makabila ya kwao dinu haifuati kabila bali Qur an kwa ulimwengu mzima kama watu wangekuwa wanafuata makabila basi waislamu wangefuata Quraesh.

Ndio maana hapa mtanzania mjinga anjiita Roman catholic wakati kazaliwa ifakara huko😅😅
 
Unaweza kuleta ushahidi?
Ushaanza kutetea 😅😅😅ulikuwa mdogo sana Nyerere wale walipigania uhuru mpaka Bi titi alimsweka ndani..

Nenda kamuulize babu yako palikuwa na haja gani kulimaliza jiji la pili kiuchumi miaka ile .
 
Back
Top Bottom