Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Mkuu tukifuata historia sehemu kubwa ya uislamu imeteka kwenye uenezi wake
Ukisom kwa makini dini zimeenea sawa , ugomvi ulitokana na watawala wa enzi zile ,hiyo ipo kwa Mussa (faraoh) , Ibrahim (wale waabudu masanamu) ,Issah (wayahudi walitaka kumtesa) n mwishoe Mtume ule utawala wa Mecca pia ulikuwa unampinga mwanzoni.


Watu walioanzisha vita na watawala wakubwa haswa waliokuwa wana imani zao za kishirikina.

Jihad ilikuwa na maelekezo na hakuna jihad imepigwa kweny makazi ya watu zaidi ya vikosi kukutana uwanja wa vita ,ukitaka kasome sheria za jihad.
 
Jibu Ni jepesi Sana Kama alivyokujibu mchangiaji mmoja hapo juu, Ni kwamba Giza na Nuru(Mwanga) havikai pamoja!
hujiulizi kwann inapoingia Nuru (Mwanga) Giza hutoweka? kwann hakuna co-existance baina yake? ni kama vile Polisi na ujambazi.
Polisi Hana co-exist na majambazi mbona huulizi hilo?
Allah ameliweka wazi kwenye Quran kupitia Nabii Ibrahim Kama mfano

قَدْ كَانَتْ لَكُمْ أُسْوَةٌ حَسَنَةٌ فِي إِبْرَاهِيمَ وَالَّذِينَ مَعَهُ إِذْ قَالُوا لِقَوْمِهِمْ إِنَّا بُرَءَآؤُاْ مِنكُمْ وَمِمَّا تَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّـهِ كَفَرْنَا بِكُمْ وَبَدَا بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمُ الْعَدَاوَةُ وَالْبَغْضَاءُ أَبَدًا حَتَّىٰ تُؤْمِنُوا بِاللَّـهِ وَحْدَهُ إِلَّا قَوْلَ إِبْرَاهِيمَ لِأَبِيهِ لَأَسْتَغْفِرَنَّ لَكَ وَمَا أَمْلِكُ لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن شَيْءٍ ۖ رَّبَّنَا عَلَيْكَ تَوَكَّلْنَا وَإِلَيْكَ أَنَبْنَا وَإِلَيْكَ الْمَصِيرُ﴿٤﴾

"Kwa yakini mna kigezo kizuri kwa Ibraahiym na wale walio pamoja naye, walipowaambia watu wao: Hakika sisi tumejitenga nanyi na yale mnayoyaabudu badala ya Allaah, tunakukanusheni, na umedhihirika baina yetu na baina yenu uadui na bughudha ya kudumu milele mpaka mumuamini Allaah Pekee. Isipokuwa kauli ya Ibraahiym kwa baba yake: Nitakuombea kwa hakika maghfirah, na wala sikumilikii chochote kile mbele ya Allaah. Rabb wetu! Tumetawakali Kwako, na Kwako Tunarudia kutubia, na Kwako ni mahali pa kuishia."
(Quran 60:4)
 
ndugu nenda senegal waislamu ni 99% lakini wakristo wapo na amani kabisa
 

Mkuu umeesoma historia ya ottoman?
 
... FURSA PEKEE ILIYOSALIA YA 'WATU' WAJINGA KUFANYA SIASA, HAPA TANZANIA, KWA SASA, NI KUJIFICHA NYUMA YA DINI!
... AMINI NAWAAMBIA, MTAIKUMBUKA JANA NA JUZI! TUNAENDA KUWA 'FAILED STATE' KWA AJILI YA WAFIA DINI!
NB: WASOMI TANZANIA SASA HIVI NI WENGI, HATA KAMA DINI YAKO IKIINGIA IKULU HAITAWARIDHISHA WAUMINI WENZIO MIA KWA MIA!
 
Pamoja na kuwa sikusudii kubadilisha mada yako
Naomba unitajie Nchi walau 5 zenye Wakristo kwa asilimia 90 (hata sio hiyo 99% uliyo iliyotaja) kwani nikisema 99% unaweza ukaambulia sifuri
COUNTRIES WITH THE HIGHEST PERCENTAGE OF CHRISTIANS:
Timor Leste 99.1%
American Samoa 98.3%
Romania 98%
Greece 98%
Armenia 97.9%
Grenada 97.3%
Papua New Guinea 97%
Puerto Rico 97%
Greenland 96.6%
Haiti 96%


Ukitaka za Afrika pekee cheki hapa..
 
Hawa Waislam tuishi nao tu; lakini ni Uzao wa SHETANI ALLAH. Una ukatili wanaomfanyia mwenzao kwa kumpiga mawe


View: https://x.com/EduTalkTz/status/1759434168100847875?s=20
 
Waislam machoni wanakuchekea kumbe mgongoni ameficha libisu. Uzao wa SHETANI ALLAH
 
Waislam wengi wana inferiority complex, hamna kitu wanasema ni makosa yao au kuna baadhi ya viongozi wao wame/likikosea..

Mifano iko mingi mno ya wao kulaumu sanasana wakristo..

Wanamtupia lawama nyerere kwa wengi wao kutosoma/kufeli ilhali shule zipo mpaka leo....

Wanawalaumu western eti wanasababisha vita nchi za kiislam, hao waislam wengi duniani wana faida gani kama hawasaidiani na tatizo wanalijua, kuna jamaa hapo kadai waislam ni wengi duniani sasa wingi wao una faida gani kama wanaendeshwa na kundi dogo??

Sijui kwanini wanapenda kulaumu watu wengine kwa matatizo yao, ona hapo watu wanacharazwa mboko kipuuzi kabisa, alafu utetezi wa jamaa eti wakristo wamesababisha kwa chuki chuki gani sijui aisee.

Ukijitoa kwenye kivuli cha dini utaona maujinga mengi sana ya hizi dini.
 
haya maskhara popoma yeyote asije akareta kwangu huu ufala ..........ntapiga lile kofi la mlinzi wa kwa lowasa........eti sababu wavaa kobazi wamefunga basi usile mchana nyokoooooo
Hahaha..
Em tembelea Pemba au Zenji wakati wa mfungo halafu ulete mrejesho..
Watakunyoosha vizuri tu
 

Hiyo 65% umeipata wapi?
 
Kama kawaida yenu, Mfungo wa Ramadhan unapokaribia kuanza mnaanza kukashifu
 
Hiyo 65% umeipata wapi?
Are there more Christians or Muslims in Africa?

Christianity is the main religion in Sub-Saharan Africa. As of 2020, 62 percent of the region's population was Christian. Muslims followed, accounting for 31.4 percent of the total population. In addition, 3.2 percent of the people in Sub-Saharan Africa practiced traditional African religions, while the unaffiliated constituted three percent of the population...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…