Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Umeshajua mtu ni mlugaluga halafu unaanzisha timbwili la nini?Muanzishie akunyooshe.Lunch yao siyo maandazi mawili kwa chilisosi!Utapewa mfueni ujilize.Aiseeeeee, hapa kwa kweli nitakuletea noma, tatizo lenu nyie walugaluga ushamba mwingi, utamwangaliaje mtu na mimacho kodo zaidi ya dakika moja halafu hata hamko katika maongezi?
Kwenye kuran ipo aya inawa-favor kwamba kama kudhulumu wamdhulumu asiyekuwa muislam,ni kusema wewe usiyekuwa muislam ukimkopesha hela akakuacha kwa alah hiyo siyo dhambi.Kwa maana yeye ni muongo, na baba wa huo "UONGO" mkuu, SHETANI hajawahi kuwa mwema, kama unabisha fanya dili yoyote na mwislamu lazima atakugeuka kama wewe ni mkristo.
Source yako?Are there more Christians or Muslims in Africa?
Christianity is the main religion in Sub-Saharan Africa. As of 2020, 62 percent of the region's population was Christian. Muslims followed, accounting for 31.4 percent of the total population. In addition, 3.2 percent of the people in Sub-Saharan Africa practiced traditional African religions, while the unaffiliated constituted three percent of the population...
Sub-Saharan Africa: main religions | Statista
Christianity is the main religion in Sub-Saharan Africa.www.statista.com
Kwani wewe unataka nini?mada inasema nini wewe unasema nini?unaona mnavyo unga unga data?
Wakristo sio wengi Duniani kama unavyofikiri.
Kuna mmoja alikuja hapa akifikiri Mataifa yenye nguvu Duniani yanaongoza kwa wakristo; kupewa data akabaki mdomo wazi
Ukifuatilia hata huko Israel ndio utashangaa; hakuna wakristo huko sijui ndio wanakaribia 2%
Kwani wewe unataka nini?mada inasema nini wewe unasema nini?
Haya duniani waislam mpo 88% sasa tuambie ninyi kinawashinda nini hata hao Wakristo wachache waliopo duniani mnashindwa kuishi nao waione amani mnayosema dini yenu inasambaza?dunia imejaa fujo i think utulivu uliopo unashikiliwa na Wakristo,atheist na non religious people kama siyo hivyo mngekuwa wenyewe dunia ingeshafika mwisho.
Kumbe wakristo mnaruhsiwa kunywa pombe na hamsemi.?Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,
Mzee elewa nakuheshimu sana!Basi huyo ndio kakuza ukatoliki nakupa task ndogo sana ,siku ya kumbukumbu ya Nyerere makanisa katoliki wanakuwa na ibada maalamu ili kuenzi mchango wake.
Zambia ina zaidi ya 90% Wakristu na Katiba yao inasema wazi kuwa Zambia ni nchi ya KikristuPamoja na kuwa sikusudii kubadilisha mada yako
Naomba unitajie Nchi walau 5 zenye Wakristo kwa asilimia 90 (hata sio hiyo 99% uliyo iliyotaja) kwani nikisema 99% unaweza ukaambulia sifuri
Unaposikia kufanya fujo siyo kuchoma matairi mabarabarani uislam unafanya fujo kwanza kwa kuwanyima watu uhuru kwa sababu eti hapa kwetu hii siyo jadi yetu(nitazungumza ya Tanzania tu)Nionyeshe ni wapi Uisilamu unafanya fujo! Na aya ipi katika Qur’an inahalalisha kufanya fujo au kuuwa wasio na hatia?
Angola, Brazil, Vatican, Italy na Cape VerdePamoja na kuwa sikusudii kubadilisha mada yako
Naomba unitajie Nchi walau 5 zenye Wakristo kwa asilimia 90 (hata sio hiyo 99% uliyo iliyotaja) kwani nikisema 99% unaweza ukaambulia sifuri
Hamna unachojua kabisa kaa kimya ,ukijibu nakupa hela kama hujui kitu tafuta elimu kwanza.Mzee elewa nakuheshimu sana!
Kwanini kama kitu hukijui usiache kukizungumza tu kuna shida gani ukikaa kimya ukasoma vile wanaandika wengine?
So ktk situation hii ipi nuru lipi giza?Jibu Ni jepesi Sana Kama alivyokujibu mchangiaji mmoja hapo juu, Ni kwamba Giza na Nuru(Mwanga) havikai pamoja!
hujiulizi kwann inapoingia Nuru (Mwanga) Giza hutoweka? kwann hakuna co-existance baina yake? ni kama vile Polisi na ujambazi.
Polisi Hana co-exist na majambazi mbona huulizi hilo?
Allah ameliweka wazi kwenye Quran kupitia Nabii Ibrahim Kama mfano
قَدْ كَانَتْ لَكُمْ أُسْوَةٌ حَسَنَةٌ فِي إِبْرَاهِيمَ وَالَّذِينَ مَعَهُ إِذْ قَالُوا لِقَوْمِهِمْ إِنَّا بُرَءَآؤُاْ مِنكُمْ وَمِمَّا تَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّـهِ كَفَرْنَا بِكُمْ وَبَدَا بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمُ الْعَدَاوَةُ وَالْبَغْضَاءُ أَبَدًا حَتَّىٰ تُؤْمِنُوا بِاللَّـهِ وَحْدَهُ إِلَّا قَوْلَ إِبْرَاهِيمَ لِأَبِيهِ لَأَسْتَغْفِرَنَّ لَكَ وَمَا أَمْلِكُ لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن شَيْءٍ ۖ رَّبَّنَا عَلَيْكَ تَوَكَّلْنَا وَإِلَيْكَ أَنَبْنَا وَإِلَيْكَ الْمَصِيرُ﴿٤﴾
"Kwa yakini mna kigezo kizuri kwa Ibraahiym na wale walio pamoja naye, walipowaambia watu wao: Hakika sisi tumejitenga nanyi na yale mnayoyaabudu badala ya Allaah, tunakukanusheni, na umedhihirika baina yetu na baina yenu uadui na bughudha ya kudumu milele mpaka mumuamini Allaah Pekee. Isipokuwa kauli ya Ibraahiym kwa baba yake: Nitakuombea kwa hakika maghfirah, na wala sikumilikii chochote kile mbele ya Allaah. Rabb wetu! Tumetawakali Kwako, na Kwako Tunarudia kutubia, na Kwako ni mahali pa kuishia."
(Quran 60:4)
Kwa hizo para mbili hapo juu mpaka hapa sina mjadala na wewe tena!!!Hamna unachojua kabisa kaa kimya ,ukijibu nakupa hela kama hujui kitu tafuta elimu kwanza.
Nyerere ndio agent wa ukatoliki Tanzania makanisa yote yanamuabudu ,hapa Tanzania Mkristo nje ya mkatoliki hawezi kuwa Rais kam kama hujui hilo ilikuwa ni kikwazo kwa Lowasa kukatwa na Nyerere.
boko haramu ni walokole au ISISNionyeshe ni wapi Uisilamu unafanya fujo! Na aya ipi katika Qur’an inahalalisha kufanya fujo au kuuwa wasio na hatia?
Typing error nadhani!Hiyo 65% umeipata wapi?
Typing error nadhani!Hiyo 65% umeipata wapi?