Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Aiseeeeee, hapa kwa kweli nitakuletea noma, tatizo lenu nyie walugaluga ushamba mwingi, utamwangaliaje mtu na mimacho kodo zaidi ya dakika moja halafu hata hamko katika maongezi?
Umeshajua mtu ni mlugaluga halafu unaanzisha timbwili la nini?Muanzishie akunyooshe.Lunch yao siyo maandazi mawili kwa chilisosi!Utapewa mfueni ujilize.
 
Kwa maana yeye ni muongo, na baba wa huo "UONGO" mkuu, SHETANI hajawahi kuwa mwema, kama unabisha fanya dili yoyote na mwislamu lazima atakugeuka kama wewe ni mkristo.
Kwenye kuran ipo aya inawa-favor kwamba kama kudhulumu wamdhulumu asiyekuwa muislam,ni kusema wewe usiyekuwa muislam ukimkopesha hela akakuacha kwa alah hiyo siyo dhambi.
 
Are there more Christians or Muslims in Africa?

Christianity is the main religion in Sub-Saharan Africa. As of 2020, 62 percent of the region's population was Christian. Muslims followed, accounting for 31.4 percent of the total population. In addition, 3.2 percent of the people in Sub-Saharan Africa practiced traditional African religions, while the unaffiliated constituted three percent of the population...
Source yako?

Tanzania mkithubutu kufanya sensa ya dini mtaonyesha wapi sura zenu enyi msiokua waislamu! Mbona mliikwepa sensa mlijua waislamu ni wengi zaidi ya UPAGANI sioI! Kwa tathmini ya haraka Waislamu ni wengi sio chini ya asilimia 70.

Dar👉The largest religion in Dar es Salaam is Islam, comprising around 70% of its total population.
Bagamoyo na pwani yote kwa ujumla
Lindi, Kilwa, mafia kote huko walikopita Uisilamu umesambaa, ukija jiji la tanga, singida, tabora, kigoma, bukoba, na hata kanda ya ziwa Uisilamu unazidi kung'ara kila kukicha.

Zanzibar 👉About 99 percent of the population in Zanzibar is Muslim.

Mikoa ambayo haina waislamu wengi labda ni Mbeya na Mara kidogo.

So, endeleeni tu kujipa moyo.
 
  • Masikitiko
Reactions: 511
unaona mnavyo unga unga data?
Wakristo sio wengi Duniani kama unavyofikiri.
Kuna mmoja alikuja hapa akifikiri Mataifa yenye nguvu Duniani yanaongoza kwa wakristo; kupewa data akabaki mdomo wazi
Ukifuatilia hata huko Israel ndio utashangaa; hakuna wakristo huko sijui ndio wanakaribia 2%
Kwani wewe unataka nini?mada inasema nini wewe unasema nini?

Haya duniani waislam mpo 88% sasa tuambie ninyi kinawashinda nini hata hao Wakristo wachache waliopo duniani mnashindwa kuishi nao waione amani mnayosema dini yenu inasambaza?dunia imejaa fujo i think utulivu uliopo unashikiliwa na Wakristo,atheist na non religious people kama siyo hivyo mngekuwa wenyewe dunia ingeshafika mwisho.
 
Kwani wewe unataka nini?mada inasema nini wewe unasema nini?

Haya duniani waislam mpo 88% sasa tuambie ninyi kinawashinda nini hata hao Wakristo wachache waliopo duniani mnashindwa kuishi nao waione amani mnayosema dini yenu inasambaza?dunia imejaa fujo i think utulivu uliopo unashikiliwa na Wakristo,atheist na non religious people kama siyo hivyo mngekuwa wenyewe dunia ingeshafika mwisho.

Nionyeshe ni wapi Uisilamu unafanya fujo! Na aya ipi katika Qur’an inahalalisha kufanya fujo au kuuwa wasio na hatia?
 
Basi huyo ndio kakuza ukatoliki nakupa task ndogo sana ,siku ya kumbukumbu ya Nyerere makanisa katoliki wanakuwa na ibada maalamu ili kuenzi mchango wake.
Mzee elewa nakuheshimu sana!

Kwanini kama kitu hukijui usiache kukizungumza tu kuna shida gani ukikaa kimya ukasoma vile wanaandika wengine?
 
Nionyeshe ni wapi Uisilamu unafanya fujo! Na aya ipi katika Qur’an inahalalisha kufanya fujo au kuuwa wasio na hatia?
Unaposikia kufanya fujo siyo kuchoma matairi mabarabarani uislam unafanya fujo kwanza kwa kuwanyima watu uhuru kwa sababu eti hapa kwetu hii siyo jadi yetu(nitazungumza ya Tanzania tu)

Zanzibar juzi Kanisa limevamiwa regardless case za nyuma Padre kumwagiwa tindikali kali mwengine kuuawa,mchungaji kufukuzwa pamoja na Kanisa lake kubomolewa ni mambo mengi sana,kufunga afunge yule kula nile mimi mwisho na utu uzima wangu nipigwe bakora huwezi kusema uislam hauna fujo wakati ukifanya haya.
 
Pamoja na kuwa sikusudii kubadilisha mada yako
Naomba unitajie Nchi walau 5 zenye Wakristo kwa asilimia 90 (hata sio hiyo 99% uliyo iliyotaja) kwani nikisema 99% unaweza ukaambulia sifuri
Angola, Brazil, Vatican, Italy na Cape Verde
 
Hapo umepiga kwenye mfupa kabisa, hao jamaa hua hawaheshimu Imani za watu wengine kabisa wanaona kama taka taka flani hivi wanajionaga wao ni watu flani hivi wa kipekee Sana na kile wanacho kiamini wao basi lazima na watu wengine wakifuate upumbavu huu, wanajikuta wanasema pombe ni haramu na wakati vitabu vyao vina waambia watakunywa pombe peponi sasa kilicho haramu kitatumika vipi peponi 🤔🤔 Zanzibar wanaona pombe na kula hadharani wakiwa wamefunga ni haramu ndio hao hao wanao pelekewa moto Kila siku upumbavu huo,
Waache kuishi kwa unafki huyo ni mungu gani wanae mfuata asietaka amani kwa watu wengine 🤔 alie wapa kibali Cha kusumbua, kupiga au kuua kabisa watu wa Imani nyingine ni nani huyo 🤔
 
Mzee elewa nakuheshimu sana!

Kwanini kama kitu hukijui usiache kukizungumza tu kuna shida gani ukikaa kimya ukasoma vile wanaandika wengine?
Hamna unachojua kabisa kaa kimya ,ukijibu nakupa hela kama hujui kitu tafuta elimu kwanza.

Nyerere ndio agent wa ukatoliki Tanzania makanisa yote yanamuabudu ,hapa Tanzania Mkristo nje ya mkatoliki hawezi kuwa Rais kam kama hujui hilo ilikuwa ni kikwazo kwa Lowasa kukatwa na Nyerere.
 
  • Mshangao
Reactions: 511
Jibu Ni jepesi Sana Kama alivyokujibu mchangiaji mmoja hapo juu, Ni kwamba Giza na Nuru(Mwanga) havikai pamoja!

hujiulizi kwann inapoingia Nuru (Mwanga) Giza hutoweka? kwann hakuna co-existance baina yake? ni kama vile Polisi na ujambazi.
Polisi Hana co-exist na majambazi mbona huulizi hilo?
Allah ameliweka wazi kwenye Quran kupitia Nabii Ibrahim Kama mfano

قَدْ كَانَتْ لَكُمْ أُسْوَةٌ حَسَنَةٌ فِي إِبْرَاهِيمَ وَالَّذِينَ مَعَهُ إِذْ قَالُوا لِقَوْمِهِمْ إِنَّا بُرَءَآؤُاْ مِنكُمْ وَمِمَّا تَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّـهِ كَفَرْنَا بِكُمْ وَبَدَا بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمُ الْعَدَاوَةُ وَالْبَغْضَاءُ أَبَدًا حَتَّىٰ تُؤْمِنُوا بِاللَّـهِ وَحْدَهُ إِلَّا قَوْلَ إِبْرَاهِيمَ لِأَبِيهِ لَأَسْتَغْفِرَنَّ لَكَ وَمَا أَمْلِكُ لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن شَيْءٍ ۖ رَّبَّنَا عَلَيْكَ تَوَكَّلْنَا وَإِلَيْكَ أَنَبْنَا وَإِلَيْكَ الْمَصِيرُ﴿٤﴾

"Kwa yakini mna kigezo kizuri kwa Ibraahiym na wale walio pamoja naye, walipowaambia watu wao: Hakika sisi tumejitenga nanyi na yale mnayoyaabudu badala ya Allaah, tunakukanusheni, na umedhihirika baina yetu na baina yenu uadui na bughudha ya kudumu milele mpaka mumuamini Allaah Pekee. Isipokuwa kauli ya Ibraahiym kwa baba yake: Nitakuombea kwa hakika maghfirah, na wala sikumilikii chochote kile mbele ya Allaah. Rabb wetu! Tumetawakali Kwako, na Kwako Tunarudia kutubia, na Kwako ni mahali pa kuishia."
(Quran 60:4)
So ktk situation hii ipi nuru lipi giza?

Ikiwa giza ni Ukristo au chochote kile ambacho siyo cha kiislam kwanini hivi havionyeshwi kama chanzo cha kupinga/kunyanyasa waislam?badala yake hili giza ndiyo lina-balance mambo?

Amma ikiwa nuru ni uislam,kwanini always inafanya mambo kinyume nyume?kuwaje nuru ibague?iache nyuso za simanzi kwa wasioamini?au misamiati “nuru na giza” kwenye uislam ina maana tofauti?kwamba giza ni mambo mazuri nuru ni mambo mabaya?may be who knows!
 
Kitu Waislam wanakifahamu vyema ni UBISHI, lakini tujiulize, kumpigania Mungu hivi ni lazima? Mungu wetu ni mkuu, ameumba vyote duniani, na vyote ni kwa kusudi lake. Kwa nini tusimwabudu na kumsifu badala ya kumpigania, kwani yeye anaweza kuvifuta vyote kwa neno moja tu.
 
Hamna unachojua kabisa kaa kimya ,ukijibu nakupa hela kama hujui kitu tafuta elimu kwanza.

Nyerere ndio agent wa ukatoliki Tanzania makanisa yote yanamuabudu ,hapa Tanzania Mkristo nje ya mkatoliki hawezi kuwa Rais kam kama hujui hilo ilikuwa ni kikwazo kwa Lowasa kukatwa na Nyerere.
Kwa hizo para mbili hapo juu mpaka hapa sina mjadala na wewe tena!!!

Uwe na siku njema.
 
Hiyo 65% umeipata wapi?
Typing error nadhani!

So ninyi mlio 89% kwanini msiwaache angalao hao Wakristo wachache wakaishi kwa amani?hakuna hata mara moja wamekuja kukuvujieni msikiti wenu hawa kinawakera nini wakifuata taratibu zao?

Hiyo amani na upendo unaosemwa uislam inao viko wapi?
 
Back
Top Bottom