Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Mkuu naomba tuhusike na maada ya mezani inayojikita kujua ni sababu gani zinapelekea kwamba nchi ikiwa na wakristo wengi kuzidi waislam bado waislam wanakuwa huru lakini ikiwa kinyume chake wakiristo wanaanza kuminywa,

Mfano tu kwa hapa Tanzania wakristo ni kama asilimia 65 laini tunaishi vizuri tu na waislam

hio ndio mada iliyopo mezani
Kaka uko mbali sana mimi nina mfano hai mzee wangu aliwahi kujichanganya akanipeleka shule ya kiislamu ya boading kule kilimanjaro sitakaa nisahau kule christian tunabaguliwa waziwazi nilisoma miezi sita tu nilipofunga shule niligoma kabisa kurudi mpaka nikahamishwa hii ni kweli kabisa sehemu yoyote kukiwa muslim ni wengi hapafai kuishi hama kabisa hapo.
 
unaona mnavyo unga unga data?
Wakristo sio wengi Duniani kama unavyofikiri.
Kuna mmoja alikuja hapa akifikiri Mataifa yenye nguvu Duniani yanaongoza kwa wakristo; kupewa data akabaki mdomo wazi
Ukifuatilia hata huko Israel ndio utashangaa; hakuna wakristo huko sijui ndio wanakaribia 2%
Hoja yako ni ipi hapo sasa? Je, mnanyanyaswa kwa udogo wenu katika nchi hizo zenye wakristo wengi kuliko waislamu? Ndiyo hoja kuu hapa
 
Mgh

Kwa mijadala hii inayo ebdelea JF hata jirani mkristo sitaki mazoea nae ni unafki tu.

tuendelee na udini
Kwanza hujaagizwa na Quran uwe na urafiki na wakristo kufanya hivyo ni kumpinga Allah

5:51 - Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
 
Kuhusu mada iliyopo mezani...
Chanzo cha msingi cha Chuki ya Waislam juu ya Wakristo ni zile Nchi zinazojiona Taifa la kwanza
wanaojengea Chuki wananchi wa Nchi za Kiislam na pengine kuzipiga Nchi zenye Waislam wengi/za Kiarabu kwa sababu dhaifu za kuunga unga.
Nchi hizo za ulimwengu wa juu zimekuwa zinajenga chuki juu ya Waislam pamoja na kupeleka mamluki wa kuzichonganisha ili Vita ianze na wao kutoa silaha kwa kundi moja wapo ili tu kudhoofisha Dola ya kiislam....wakati hayo yakitokea kumekuwa na baadhi ya Wakristo au niseme kundi kubwa la Wakristo kwa kujua au kutokujua hufurahia sana kinacho endelea katika Nchi hizo zenye Waislam wengi
Matokeo yake, baadhi ya Waislam hushindwa kujizuia na hivyo kuleta uhasama unaaendelea Duniani kwa sasa......
Umeongopa tu hapa , umeweka hisia zaidi kuliko uhalisia
Unataka kutuambia waislamu wana chuki si ndiyo?
 
Source yako?

Tanzania mkithubutu kufanya sensa ya dini mtaonyesha wapi sura zenu enyi msiokua waislamu! Mbona mliikwepa sensa mlijua waislamu ni wengi zaidi ya UPAGANI sioI! Kwa tathmini ya haraka Waislamu ni wengi sio chini ya asilimia 70.

Dar👉The largest religion in Dar es Salaam is Islam, comprising around 70% of its total population.
Bagamoyo na pwani yote kwa ujumla
Lindi, Kilwa, mafia kote huko walikopita Uisilamu umesambaa, ukija jiji la tanga, singida, tabora, kigoma, bukoba, na hata kanda ya ziwa Uisilamu unazidi kung'ara kila kukicha.

Zanzibar 👉About 99 percent of the population in Zanzibar is Muslim.

Mikoa ambayo haina waislamu wengi labda ni Mbeya na Mara kidogo.

So, endeleeni tu kujipa moyo.
Hili nalo la kuja kulilia mitandaoni na kubishana kabisa
Watu wengi uwezo wenu wa kufikiri sijui ukoje
 
Kwanza hujaagizwa na Quran uwe na urafiki na wakristo kufanya hivyo ni kumpinga Allah

5:51 - Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
Sijasema urafiki mkuu,
mazoea mfano jirani nk.. siwezi kuwa na urafiki na mkristo tuna ongea kuhusu nini kwanza..?! Na huyo mkristo.
 
Kumbe wakristo mnaruhsiwa kunywa pombe na hamsemi.?
Tumeiga kwenu



Al-Kashif- Juzuu Ya Ishirini Na Sita
Muhammad Jawad Mughniyya

TABLE OF CONTENTS

6 minutes
read
Aya 15 – 19: Sifa Za Pepo
Maana
Mfano wa Pepo waliyoahidiwa wenye takuwa ina mito ya maji yasiyoharibika.
Makusudio ya mfano wa pepo ni sifa zake. Maana ni kuwa Mwenyezi Mungu anawapa habari waja wake kwamba miongoni mwa sifa za pepo ni kuwa ndani yake mna mito ya maji yanayobaki na asili yake bila ya kubadilishwa na chochote.

Na mito ya maziwa isiyoharibika ladha yake wala rangi au harufu yake. Na mito ya mvinyo yenye utamu kwa wanywao. Ni tamu mdomoni wala hauleweshi. Na mito ya asali iliyosafishwa kutokana na masega na mengineyo. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda yakiwemo yale ambayo hayana mfano wake duniani.
 
Sunni na shia ni jamii mbili tofauti kila mmoja anaishi sehemu yake ...wanajitegemea kwani ulishasikia hapa Tanzania wakipigana ? Wale wapo sehemu moja kwingine wanafuata mkumbo ... Waislamu 80% hata hawajui sunni ni wpi na shia ni wap?

Hapa kwetu hata ukisikia mkristo anasema tumeshindwa kuoana kwa vile ni msabato na mkatoliki

ndugu nenda senegal waislamu ni 99% lakini wakristo wapo na amani kabisa
Kwa nini humwambii aende mnakohiji ambako ndiyo taswira ya Uislamu kabisa? Mmekimbilia Senegal 😃
 
Na sio against Christian ila ni against dini zote chini ya jua. Kuna vita kati ya Waislam na Wabudha, Muslim against Hindu, Islam against Jews na mwisho ni Muslim against Muslim( Shia against Answar Sunna, Ahamadiya vs Answar n.k) na nyingine ni ile Muslim against Muslim ya Sudan wanapambana Muislam Mgunya (Mwarabu koko against Black Muslim)

Ni mjinga pekee atakaye amini hii ni dini ya haki,kiuhalisia hii ni dini ya fujo na laana kwa ulimwengu,islam is a mental illness
 
Hamna unachojua kabisa kaa kimya ,ukijibu nakupa hela kama hujui kitu tafuta elimu kwanza.

Nyerere ndio agent wa ukatoliki Tanzania makanisa yote yanamuabudu ,hapa Tanzania Mkristo nje ya mkatoliki hawezi kuwa Rais kam kama hujui hilo ilikuwa ni kikwazo kwa Lowasa kukatwa na Nyerere.
Ahmadiyya anaweza kuwa Rais wa Tanzania? Shia? Ibadi?
 
Source yako?

Tanzania mkithubutu kufanya sensa ya dini mtaonyesha wapi sura zenu enyi msiokua waislamu! Mbona mliikwepa sensa mlijua waislamu ni wengi zaidi ya UPAGANI sioI! Kwa tathmini ya haraka Waislamu ni wengi sio chini ya asilimia 70.

Dar👉The largest religion in Dar es Salaam is Islam, comprising around 70% of its total population.
Bagamoyo na pwani yote kwa ujumla
Lindi, Kilwa, mafia kote huko walikopita Uisilamu umesambaa, ukija jiji la tanga, singida, tabora, kigoma, bukoba, na hata kanda ya ziwa Uisilamu unazidi kung'ara kila kukicha.

Zanzibar 👉About 99 percent of the population in Zanzibar is Muslim.

Mikoa ambayo haina waislamu wengi labda ni Mbeya na Mara kidogo.

So, endeleeni tu kujipa moyo.
Leta data acha maneno mengi
Mfano kabila kubwa kabisa Tanzania ni wasukuma na population yao hope karibu 80 percent ni christians kwa wenye dini

Leta data , wakristo wangekuwa wachache hivyo wasingedominate the rule ya nchi hii.
Ninyi ni wengi pwani but ni maamuma ndiyo maana mnatawaliwa na wachache hukohuko
 
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha

Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?

Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k.

mifano tunaweza kuzitizama nchi jirani Ghana na Nigeria, kwa upande wa Ghana wakristo ni wengi imani za waislam, zinaheshimiwa lakini nchi jirani ya Nigeria waislam wapo 53% lakini kumekuwa na matukio ya kuukandamiza ukristo, pia hapa kwetu Tanzania Bara wakristo ni wengi zaidi huku imani za kiislam zikishimiwa lakini hapo jirani Zanzibar hali ni tofauti



Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza

Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa

View attachment 2909299

Hii ni juzi tu hapo jumamosi iliyopita kanisa la katoliki lilishambuliwa.
View attachment 2909578



Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,

Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.

View attachment 2909283

Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa

Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja

View attachment 2909277

Eneo likijaa waislam kuna uwezekano mkubwa watataka watu wa eneo hilo hata wasio waislam wafate sheria za kiislam na ataekiuka wananona wana haki ya kumuadhibu,

Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,

View attachment 2909278

Nchi kadhaa zimepitisha sharia (sheria kwa mujibu wa uislam) zenye mahakama zake, inatakiwa wote mfuate sharia hata kama si muumini wa dini ya kiislam,

Mfano nchi kama Malaysia, Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kwenye mahakama ya kiislam kisha usubiri uamuzi wao kama utakubaliwa
Mafundisho ya kidini, ukimfunza mtoto ako upendo atakua katika upendo na ukimfunza vita na magomvi atakua katika njia hiyo hiyo.
 
Na sio against Christian ila ni against dini zote chini ya jua. Kuna vita kati ya Waislam na Wabudha, Muslim against Hindu, Islam against Jews na mwisho ni Muslim against Muslim( Shia against Answar Sunna, Ahamadiya vs Answar n.k) na nyingine ni ile Muslim against Muslim ya Sudan wanapambana Muislam Mgunya (Mwarabu koko against Black Muslim)
Mkuu umemaliza kila kitu hapo tu Somalia ni wenyewe kwa wenyewe lakini hakuna amani Pakistan mara kwa mara wanalipuana misikitini.
 
Back
Top Bottom