Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Ila wakristo wanapenda kulalamika, waislamu wangapi wanafanyiwa mabaya lakini media zinajifanya kama hazioni, Syria, Palestine, Uyghur Muslim, India huko, nk. Hata wakiuliwa vipi habari haitosambaa kama za wakristo, lakini hapo muislam mmoja tu auwe mkristo au mkristo auliwe itaangaliwa kwanza muuaji ni dini gani, kama ni muislam Basi utasikia ndio walivyo hao magaidi, sijui ndio imani yao ndio inavyowatuma wajitoe muhanga. Juzi hapo marekani kuna mwanamke kauwa watu zaidi ya kumi lakini haitwi gaidi Kwa sababu sio muislam. Tuacheni hayo mambo, hakuna dini inayopenda amani kama islam, ndio maana na mimi nikaingia kwenye uislam.
 
Ni nani alisema hayo maneno? Huyo aliyemuona Baba ni nani?

huyu naye ni muongo ??

paulo anatuambia Mungu haonekani na asiyekufa ,

1 Timothy 1;17

Now to the King eternal, immortal, invisible, the only God, be honor and glory for ever and ever. Amen.
 
huyu naye ni muongo ??

paulo anatuambia Mungu haonekani na asiyekufa ,

1 Timothy 1;17

Now to the King eternal, immortal, invisible, the only God, be honor and glory for ever and ever. Amen.
Naona unazidi kutanua magoli. Bible ina aya nyingi tu za hivi. Hebu turudi kwenye ile Yohana uliyoileta mwenyewe. Au useme ile umeachana nayo unataka tujadili hii.

Maana naona hata swali lako umeshalisahau!
 
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha

Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?

Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k.

mifano tunaweza kuzitizama nchi jirani Ghana na Nigeria, kwa upande wa Ghana wakristo ni wengi imani za waislam, zinaheshimiwa lakini nchi jirani ya Nigeria waislam wapo 53% lakini kumekuwa na matukio ya kuukandamiza ukristo, pia hapa kwetu Tanzania Bara wakristo ni wengi zaidi huku imani za kiislam zikishimiwa lakini hapo jirani Zanzibar hali ni tofauti

Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza

Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa

View attachment 2909299

Hii ni juzi tu hapo jumamosi iliyopita kanisa la katoliki lilishambuliwa.
View attachment 2909578

Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,

Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.

View attachment 2909283

Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa

Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja

View attachment 2909277

Eneo likijaa waislam kuna uwezekano mkubwa watataka watu wa eneo hilo hata wasio waislam wafate sheria za kiislam na ataekiuka wananona wana haki ya kumuadhibu,

Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,

View attachment 2909278

taasisi za elimu kama vyuo vya kikristo wala haviingilii uhuru wa wanafunzi wa kislam lakini kwa upande wa vyuo vya kiislam hali ni tofauti, mfano chuo cha kiislam cha Morogoro hairuhusiwi kwa mwanafunzi kutembea au kukaa wawili mwanamke na mwanaume hata kufanya discussion isipokuwa awepo mtu wa tatu, kuna video iliwahi kuvuja ikionyesha watu wazima wa chuo hicho wakidhibiwa kwa viboko.

View attachment 2910122

Nchi kadhaa zimepitisha sharia (sheria kwa mujibu wa uislam) zenye mahakama zake, inatakiwa wote mfuate sharia hata kama si muumini wa dini ya kiislam, Mfano nchi kama Malaysia, Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kwenye mahakama ya kiislam kisha usubiri uamuzi wao kama utakubaliwa
Upumbavu tuh
 
Naona unazidi kutanua magoli. Bible ina aya nyingi tu za hivi. Hebu turudi kwenye ile Yohana uliyoileta mwenyewe. Au useme ile umeachana nayo unataka tujadili hii.

Maana naona hata swali lako umeshalisahau!

Ndiyo umejibu swali hapo uliloulizwa ?
 
Hujauliza swali lolote

Jifanye kipofu ,

huyu naye ni muongo ??

paulo anatuambia Mungu haonekani na asiyekufa ,

1 Timothy 1;17

Now to the King eternal, immortal, invisible, the only God, be honor and glory for ever and ever. Amen.
 
Muslims are not happy.
  • They are not happy in Gaza.
  • They are not happy in Egypt.
  • They are not happy in Libya.
  • They are not happy in Algeria.
  • They are not happy in Tunis.
  • They are not happy in Morocco.
  • They are not happy in Yemen.
  • They are not happy in Iraq.
  • They are not happy in Afghanistan.
  • They are not happy in Syria.
  • They are not happy in Lebanon.
  • They are not happy in Iran.

And where are Muslims happy?
  • They are happy in England.
  • They are happy in France.
  • They are happy in India.
  • They are habov in Germany
  • They are happy in Sweden.
  • They are happy in the Netherlands.
  • They are happy in Denmark.
  • They are happy in Belgium.
  • They are happy in Norway.
  • They are happy in U.S.A.
  • They are happy in Canada.

They are happy in any country in the world not ruled by Muslims.
And who do they blame?
  • Not Islam.
  • Not their leadership.
  • Not themselves.

They blame the countries where they are living freely and well.
Democracy is really good for them: democracy, in which they can live comfortably, enjoy the high quality of life, which a good part of them did not build or work to have.
This good part can maintain its customs, disobey the laws, exploit social services, parody our politics and our courts. They usually bite the hand that feeds them. And besides, they never go to Russia, Vietnam, North Korea, Cuba or Cambodia. The question is contradictory, and paradoxical, because, at the same time, they try to bring their broken life system and transform the countries that welcomed them into the country that they abandoned.
"Where Fanaticism enters through the door, Reason comes out the window.
 
Unafikiri Hao waliozaliwa huko Ulaya wako Happy ? Labda hujafika na kuishi huko , usidanganywe , watu wanaojiuwa wenyewe hawana idadi , mfumuko wa bei Za vitu ndio usiseme, watu wamellikataa kanisa na makanisa mengi yanageuzwa Msikiti na mengine ma baa . Usidanganywe kanisani

Angalia mwenyewe hao watu wenye furaha wanavyojiuwa

List of countries by suicide rate - Wikipedia
 
UISLAMU hauna shida Kwa watu wasiokuwa waislamu ambao hawaupigi vita uislamu

Shida yenu mnataka waislamu wafuate mifumo yenu

Mfano

Sasa mnalazimisha Kila mtu awe shoga kitu ambacho uislamu hauwezi kukubali.

In short, ukristo ni dini ya watu wakikaa tu wanakubaliana jambo linakuwa Sheria kiasi kwamba hata biblia inaweza ikabadilishwa na watu wakaona poa

Uislamu hamna mambo hayo,
Unamaanisha waislamu mashoga hawapo?
 
Ni nani alisema hayo maneno? Huyo aliyemuona Baba ni nani?
Hayo ni maneno ya yohana aliyemnukuu Yesu , na umefanya yale yale kunukuu sehemu ya maneno tu , kumbe nyani haoni ....

chungulia na maneno haya, kayasema nani ?+

Yohana 5:37 SRUV​

Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.
 
Back
Top Bottom