Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Ni nani alisema hayo maneno? Huyo aliyemuona Baba ni nani?ila yeye atokaye kwa Mungu; huyo ndiye aliyemwona Baba. ( kuna Yesu hapo ??)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nani alisema hayo maneno? Huyo aliyemuona Baba ni nani?ila yeye atokaye kwa Mungu; huyo ndiye aliyemwona Baba. ( kuna Yesu hapo ??)
Kwani hiyo aya kaiandika nani ??Ni nani alisema hayo maneno? Huyo aliyemuona Baba ni nani?
Ni nani alisema hayo maneno? Huyo aliyemuona Baba ni nani?
Kaiandika YohanaKwani hiyo aya kaiandika nani ??
Naona unazidi kutanua magoli. Bible ina aya nyingi tu za hivi. Hebu turudi kwenye ile Yohana uliyoileta mwenyewe. Au useme ile umeachana nayo unataka tujadili hii.huyu naye ni muongo ??
paulo anatuambia Mungu haonekani na asiyekufa ,
1 Timothy 1;17
Now to the King eternal, immortal, invisible, the only God, be honor and glory for ever and ever. Amen.
Upumbavu tuhUzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha
Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?
Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k.
mifano tunaweza kuzitizama nchi jirani Ghana na Nigeria, kwa upande wa Ghana wakristo ni wengi imani za waislam, zinaheshimiwa lakini nchi jirani ya Nigeria waislam wapo 53% lakini kumekuwa na matukio ya kuukandamiza ukristo, pia hapa kwetu Tanzania Bara wakristo ni wengi zaidi huku imani za kiislam zikishimiwa lakini hapo jirani Zanzibar hali ni tofauti
Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza
Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa
View attachment 2909299
Hii ni juzi tu hapo jumamosi iliyopita kanisa la katoliki lilishambuliwa.
View attachment 2909578
Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,
Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.
View attachment 2909283
Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa
Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja
View attachment 2909277
Eneo likijaa waislam kuna uwezekano mkubwa watataka watu wa eneo hilo hata wasio waislam wafate sheria za kiislam na ataekiuka wananona wana haki ya kumuadhibu,
Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,
View attachment 2909278
taasisi za elimu kama vyuo vya kikristo wala haviingilii uhuru wa wanafunzi wa kislam lakini kwa upande wa vyuo vya kiislam hali ni tofauti, mfano chuo cha kiislam cha Morogoro hairuhusiwi kwa mwanafunzi kutembea au kukaa wawili mwanamke na mwanaume hata kufanya discussion isipokuwa awepo mtu wa tatu, kuna video iliwahi kuvuja ikionyesha watu wazima wa chuo hicho wakidhibiwa kwa viboko.
View attachment 2910122
Nchi kadhaa zimepitisha sharia (sheria kwa mujibu wa uislam) zenye mahakama zake, inatakiwa wote mfuate sharia hata kama si muumini wa dini ya kiislam, Mfano nchi kama Malaysia, Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kwenye mahakama ya kiislam kisha usubiri uamuzi wao kama utakubaliwa
Naona unazidi kutanua magoli. Bible ina aya nyingi tu za hivi. Hebu turudi kwenye ile Yohana uliyoileta mwenyewe. Au useme ile umeachana nayo unataka tujadili hii.
Maana naona hata swali lako umeshalisahau!
Hujauliza swali loloteNdiyo numejibu swali hapo uliloulizwa ?
Hujauliza swali lolote
Kaiandika Yohana
Muslims are not happy.
- They are not happy in Gaza.
- They are not happy in Egypt.
- They are not happy in Libya.
- They are not happy in Algeria.
- They are not happy in Tunis.
- They are not happy in Morocco.
- They are not happy in Yemen.
- They are not happy in Iraq.
- They are not happy in Afghanistan.
- They are not happy in Syria.
- They are not happy in Lebanon.
- They are not happy in Iran.
And where are Muslims happy?
- They are happy in England.
- They are happy in France.
- They are happy in India.
- They are habov in Germany
- They are happy in Sweden.
- They are happy in the Netherlands.
- They are happy in Denmark.
- They are happy in Belgium.
- They are happy in Norway.
- They are happy in U.S.A.
- They are happy in Canada.
They are happy in any country in the world not ruled by Muslims.
And who do they blame?
- Not Islam.
- Not their leadership.
- Not themselves.
They blame the countries where they are living freely and well.
Democracy is really good for them: democracy, in which they can live comfortably, enjoy the high quality of life, which a good part of them did not build or work to have.
This good part can maintain its customs, disobey the laws, exploit social services, parody our politics and our courts. They usually bite the hand that feeds them. And besides, they never go to Russia, Vietnam, North Korea, Cuba or Cambodia. The question is contradictory, and paradoxical, because, at the same time, they try to bring their broken life system and transform the countries that welcomed them into the country that they abandoned.
"Where Fanaticism enters through the door, Reason comes out the window.
Uislam sio dini
Wewe Mkuu kaza tu shingo yako wakati unaona context za hilo andiko ktk Revelation ni tofauti na lile la katika Isaiah. Kule kwenye Quran yenu Iko straight forward kuwa ALLAH ni SHETANI.
Nimekwambia waarabu walikua na miungu mingi,369,miongoni mwao waliyoipenda zaidi ni latta na uzzaSawa ngosha.
Sasa utakubaliana na mimi neno Allah lilitokana na mungu (muungu ) wa hao waarabu, je tofauti ya Allah wa miungu na Allah unaemwamini ni ipi?
Hawana maarifa hawa hahaha wanaburuzwa tuStill kuna mtu anasema na anakaza shingo kabisa kwamba anaabudu Mungu mwenye maneno ya hovyo kama haya!
Hawa watu wana umuhimu wa kuhurumiwa.
Unamaanisha waislamu mashoga hawapo?UISLAMU hauna shida Kwa watu wasiokuwa waislamu ambao hawaupigi vita uislamu
Shida yenu mnataka waislamu wafuate mifumo yenu
Mfano
Sasa mnalazimisha Kila mtu awe shoga kitu ambacho uislamu hauwezi kukubali.
In short, ukristo ni dini ya watu wakikaa tu wanakubaliana jambo linakuwa Sheria kiasi kwamba hata biblia inaweza ikabadilishwa na watu wakaona poa
Uislamu hamna mambo hayo,
Hayo ni maneno ya yohana aliyemnukuu Yesu , na umefanya yale yale kunukuu sehemu ya maneno tu , kumbe nyani haoni ....Ni nani alisema hayo maneno? Huyo aliyemuona Baba ni nani?