Can you date a guy without asking him for Money?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki we ni kimeo sijapata kuona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa we beberu kama huna shida ulimfuatia nini huyo mbuzi? Si ungetulia zako tu ukala majani kwa amani.
Kwa hyo hapo unajikuta umewiiin mwenyewe kwa kuzaliwa na mtaji tayari?

Sawa tu fainali uzeeni mkifika 30+ mnasaka ndoa kwa nguvu had mitandaoni
 
Unafikiri dunia yako hii Ngalikihija? Unaweza shangaa hao unaowaongelea ndio hao wasoomba hata mia. Mungu sio Ngalikihija bwana, anatenda kwa namna za ajabu sana. Hao unaowalalamikia ndio hupata wanaume haswaa. Njoo sasa upande wa pili ni full "mfurugano"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo wanawake wa siku hizi mnaomba hela bila kuangalia hali ya mwenza wako.Mtakuta mmeanza vizuri mwenzi wako yy level zake za kuhonga ni tecno,itel nk.

Sasa tatizo linakuja siku akisikia rafiki yake kaongwa iphone au sumsung na yy nae anataka kama hiyo wakati anajua mwenza wake kwa hali yake ya sasa ni Tecno.

Kwa kifupi mnatamaa na si kwamba wanaume hawaongi wanaonga ila mnapenda kuishi maisha ya watu wengine lkn na si yale yanayoendana na kipato cha mwenzako,wakati mwamzo ulistahimili.

Alafu basi kuna wanawake wengine hawana hata mawazo tu (si hela),yakumsaidia mwenzi wake kuongeza kipato.Kila siku yeye "naomba......naomba.....naomba",yaani yy anaamini K ndio silaha ya kupata na siku ukiteteleka kiuchumi ndio basi si wako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa we beberu kama huna shida ulimfuatia nini huyo mbuzi? Si ungetulia zako tu ukala majani kwa amani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Eti Mungu siyo Ngalikihinja.. shenzee type kabisa Jael...🙂🙂 Nimecheka kwa sauti
 
Ahsante tupo wote.
Kweli tamaa siyo nzuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Jael naomba unipumzishe..
Nimecheka Sasa inatosha[emoji119]


Zoë
 
Aala sasa kwani hapa tunaongea nini? Si ndiyo tunasema kuwa wote tusubiri ndoa wanawake tusubiri ndoa ndiyo tuhudumiwe na wanaume msubiri ndoa ndiyo mpewe!
Naunga mkono hoja [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…