Kukuomba pia ni njia mojawapo ya kuitafuta katika kuelekea uchumi wa kati. Hivyo nikukumbushe kutoa pesa kadiri iwezekanavyo. Nasi tunaendelea kuzisaka.Jael, Atu, Zoe na wenzako niwape rai moja kwamba, ukipenda kuomba pesa kuwa na tabia ya kuitafuta hiyo pesa, usipenda kupenda pesa huku unategemea pesa ya kutoka mfukoni mwa mwanaume wako. Wanawake wengi mnanyanyasika kwa sababu wengi wenu hamna FINANCIAL FREEDOM.
Tehteh...msomali wapo tunaoona saana.....
Ila wasioona wapo wengii.
Mwanamke anayeomba pesa anatabia mbaya au alikuwa kwenye mahusiano na mwanaume aliyekuwa hamsaidii matatizo yake hivyo akamzoesha kuomba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona eenh, na tuttyfruity angekuwepo hapa haki ya nani hawa wakaka wangeporomosha matusi kwa kupanic yule dada hapana kuna fuse zilishaachia kichwani.
Umenena dada mkubwa. Leo naona kidogo wanajitahidi kuja na hoja hakuna matusi kama siku zote.Vijana wa kiumeni leo naona mnaenda poa, maana nyie hamnaga simile matusi yanawaporomoka mkizidiwa hoja...so far so good.
Issue sio uchoyo, issue hapa ni namna ya ninyi mnavyotuomba hela, ila kuna rafiki yangu mnaijeria anakuambia kwamba, kama hana pesa mboo haisimami ***** 😝 😝 😝 😝 😝Mkuu kule juu si nilishakueleza kuwa pesa tunatafuta ila lazima na zenu tuzitumiepo kidogo acheni uchoyo watoto wa kiume
Jael, Atu, Zoe na wenzako niwape rai moja kwamba, ukipenda kuomba pesa kuwa na tabia ya kuitafuta hiyo pesa, usipenda kupenda pesa huku unategemea pesa ya kutoka mfukoni mwa mwanaume wako. Wanawake wengi mnanyanyasika kwa sababu wengi wenu hamna FINANCIAL FREEDOM.
Sasa kumbe hiyo unayosema tabia mbaya mnatuzoesha wenyewe[emoji134][emoji134][emoji134]Tehteh...msomali wapo tunaoona saana.....
Ila wasioona wapo wengii.
Mwanamke anayeomba pesa anatabia mbaya au alikuwa kwenye mahusiano na mwanaume aliyekuwa hamsaidii matatizo yake hivyo akamzoesha kuomba.
Tunatakiwa tuombe vipi? Hebu tufundishe.Issue sio uchoyo, issue hapa ni namna ya ninyi mnavyotuomba hela [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ah Ladyred habishanagi sana halafu mara nyingi yuko serious. Tuttyfruity hana akili nyie jamani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ladyred naye sijui yuko wapi
Hapana twin exclude you!! We nakurespect sana twin...we ni level za juu!!
Sema wasichana mtafute pesa, wengi wenu hamjafikia hadhi ya kuwa wanawake humu.wanawake
Hapo unakuta ushaota sugu huko chini kilometa zinasoma laki mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu kunywa maji ulale, ndoto njema.
is this the English thread?Watu wamepinda jamaniiiiiii nimecheka hatari.
Tunatakiwa tuombe vipi? Hebu tufundishe.
Kakojoe ulale we mtoto, hizi mada za watu wazima.Hapo unakuta ushaota sugu huko chini kilometa zinasoma laki mbili
Sema wasichana mtafute pesa, wengi wenu hamjafikia hadhi ya kuwa wanawake humu.
Cheap my foot, si waseme tu hawana hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwanaume wa kibongo atakuwa anaambia wenzie yule ni cheap wala hawaheshimu
Hivi kwa nini wanawake wa sasa mkiomba hela mwanamke asipokupa pesa ontime mnanuna na kutoa bumbula mnaanza mara naumwa tumbo, mara sjui nini, inakuwaje hii.Tunatakiwa tuombe vipi? Hebu tufundishe.
Wewe ukinyimwa hicho unachokitaka kama maji unajisikiaje?Hivi kwa nini wanawake wa sasa mkiomba hela mwanamke asipokupa pesa ontime mnanuna na kutoa bumbula mnaanza mara naumwa tumbo, mara sjui nini, inakuwaje hii.