Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Jael, Atu, Zoe na wenzako niwape rai moja kwamba, ukipenda kuomba pesa kuwa na tabia ya kuitafuta hiyo pesa, usipenda kupenda pesa huku unategemea pesa ya kutoka mfukoni mwa mwanaume wako. Wanawake wengi mnanyanyasika kwa sababu wengi wenu hamna FINANCIAL FREEDOM.
Kukuomba pia ni njia mojawapo ya kuitafuta katika kuelekea uchumi wa kati. Hivyo nikukumbushe kutoa pesa kadiri iwezekanavyo. Nasi tunaendelea kuzisaka.

Yaani tunayanyasikaje? Tunakosa kula au?
 
Tehteh...msomali wapo tunaoona saana.....

Ila wasioona wapo wengii.

Mwanamke anayeomba pesa anatabia mbaya au alikuwa kwenye mahusiano na mwanaume aliyekuwa hamsaidii matatizo yake hivyo akamzoesha kuomba.

kweli kuombaomba sio tabia njema Lakin sio muwe tu kwenye furaha hata huzuni muwe pamoja Pia hata hamtosafiri kisa hutaki kutumia pesa au ?
Halaf hii kwa wanaume wa kibongo wanakuona cheap eti

mi nashukuru wangu pesa sio kitu kwake kama anayo anatuma tu hata usipomuomba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona eenh, na tuttyfruity angekuwepo hapa haki ya nani hawa wakaka wangeporomosha matusi kwa kupanic yule dada hapana kuna fuse zilishaachia kichwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ladyred naye sijui yuko wapi
 
Vijana wa kiumeni leo naona mnaenda poa, maana nyie hamnaga simile matusi yanawaporomoka mkizidiwa hoja...so far so good.
Umenena dada mkubwa. Leo naona kidogo wanajitahidi kuja na hoja hakuna matusi kama siku zote.

By the way hii mada ya leo inaonekana kabisa asilimia kubwa ni changamsha genge tu. Mtu akileta matusi atakuwa wa ajabu.
 
Mkuu kule juu si nilishakueleza kuwa pesa tunatafuta ila lazima na zenu tuzitumiepo kidogo acheni uchoyo watoto wa kiume
Issue sio uchoyo, issue hapa ni namna ya ninyi mnavyotuomba hela, ila kuna rafiki yangu mnaijeria anakuambia kwamba, kama hana pesa mboo haisimami ***** 😝 😝 😝 😝 😝
 
Jael, Atu, Zoe na wenzako niwape rai moja kwamba, ukipenda kuomba pesa kuwa na tabia ya kuitafuta hiyo pesa, usipenda kupenda pesa huku unategemea pesa ya kutoka mfukoni mwa mwanaume wako. Wanawake wengi mnanyanyasika kwa sababu wengi wenu hamna FINANCIAL FREEDOM.

hiyo ni kweli kabisa wanawake tufanye kazi tuwe na pesa zetu ila pia zinio gezwam na za bebi Zinakuwa tamu hata siku akikwama nae unampa Ana nene
 
Tehteh...msomali wapo tunaoona saana.....

Ila wasioona wapo wengii.

Mwanamke anayeomba pesa anatabia mbaya au alikuwa kwenye mahusiano na mwanaume aliyekuwa hamsaidii matatizo yake hivyo akamzoesha kuomba.
Sasa kumbe hiyo unayosema tabia mbaya mnatuzoesha wenyewe[emoji134][emoji134][emoji134]
Msituongezee dhambi hebu, mtoe pesa bwana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ladyred naye sijui yuko wapi
Ah Ladyred habishanagi sana halafu mara nyingi yuko serious. Tuttyfruity hana akili nyie jamani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ule uzi wa kuoa wanawake mabikira umesahau alivyoenda nao sambamba halafu kila comment anayotoa afadhali ya iliyopita. Haki ile siku nilicheka hadi niligaragara jamani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu kunywa maji ulale, ndoto njema.
Hapo unakuta ushaota sugu huko chini kilometa zinasoma laki mbili
 
Hivi kwa nini wanawake wa sasa mkiomba hela mwanamke asipokupa pesa ontime mnanuna na kutoa bumbula mnaanza mara naumwa tumbo, mara sjui nini, inakuwaje hii.
Wewe ukinyimwa hicho unachokitaka kama maji unajisikiaje?
 
Back
Top Bottom