Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kukuomba pia ni njia mojawapo ya kuitafuta katika kuelekea uchumi wa kati. Hivyo nikukumbushe kutoa pesa kadiri iwezekanavyo. Nasi tunaendelea kuzisaka.Jael, Atu, Zoe na wenzako niwape rai moja kwamba, ukipenda kuomba pesa kuwa na tabia ya kuitafuta hiyo pesa, usipenda kupenda pesa huku unategemea pesa ya kutoka mfukoni mwa mwanaume wako. Wanawake wengi mnanyanyasika kwa sababu wengi wenu hamna FINANCIAL FREEDOM.
Yaani tunayanyasikaje? Tunakosa kula au?