Can you date a guy without asking him for Money?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huko ni usiku? Hapa saa 9 alasiri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Asante sana. Njozi njema mpendwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahah nipo upande wa wanawake na hela ni sawa na Juma na Uredi au Chitemo na Sadiki au Kulwa na Doto.

Mwanamke yeyote anapenda hela hata mama yangu na dada zangu wote wanapenda hela maana wanajua bila pesa mambo hayaendi.

Mwanamke mwanzo atakuonesha hayuko after money,i know that is a trap!
 

Hahaahaaaa wanawake Mungu anawaona, mwanaume unatongoza leo, leo leo unaombwa tsh elf 20..unatoa, kesho unaombwa elf 15 unatoa, kesho kutwa unaombwa elf 30 unatoa, ukiomba papuchi kwa kumwambia aje gheto, gheto haji, papuchi hupewi, unaishia kupigwa kalenda isio na mwisho..

KWAMFANO IKIWA WEWE NI MWANAUME UNAEOMBWA OMBWA HELA
Mara nyingi huyo mdada anaekupiga kalenda huku akikuomba hela kila mara, pembeni ana mwanaume handsome, mdada anampa huyo mwanaume handsome papuchi ya bure tena kirahisii, SHIT!! Utakuta hata hela unazohonga anapewa huyo mwanaume handsome..utakuta huyo mwanaume handsome hajawahi kuombwa hata tsh 100 na huyo mrs vizinga hahahaaaaahaaa Jael
 
Wana msemo wao wenyewe "fake it till you make it"
 
Unamkataa kwa Id hii unamkubali kwa Id hii. Halafu Id yake halisi ni yule "0 IQ" au pompeo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu niache jamani.
 
Mdogo wangu ukishakuwa na hela huwezi kuandika gazetiiiiiii kama hili kuhusu mapenzi na pesa.
 
Nyie wanaume mnapata wapi nguvu za kuandika maneno Mengi hivi?
 
Sasa hapa mkuu nani alaumiwe? Wewe au muombaji?[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Wana msemo wao wenyewe "fake it till you make it"
Mafiiii, kama rahisi hivyo mbona hawamake. Ni hasira tu kuanzia siasani hadi huku mahabani[emoji134][emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…