Can you date a guy without asking him for Money?

Mie shawahi kutukanwa humu na mmoja akaniambia anapesa za kuweza kunilisha na ukoo wangu mzima. Eeeh bwana we siku namkuta kwa uzi wa Ontario anaomba ampe hata kazi ya ulinzi maana amechoka kugombania remote na wadogo zake nyumbani. Haki nilicheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂😂😂
 
Huko ni usiku? Hapa saa 9 alasiri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Asante sana. Njozi njema mpendwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahah nipo upande wa wanawake na hela ni sawa na Juma na Uredi au Chitemo na Sadiki au Kulwa na Doto.

Mwanamke yeyote anapenda hela hata mama yangu na dada zangu wote wanapenda hela maana wanajua bila pesa mambo hayaendi.

Mwanamke mwanzo atakuonesha hayuko after money,i know that is a trap!
 
Hivi kwanini umuwekee masharti kwamba "kabla ya"? Halafu umshangae yeye akifanya the same? Hata yeye anaangalia je ni kweli uko real na unaweza kuyachukulia yake kama yako?

Kwahiyo shida yake isubirie hiyo "kabla ya" yako? Hapo ndipo umeharibu, kuombwa pesa mapema haimaanishi mtu hajavutia nawe, anaweza akawa hajavutiwa nawe na akakuvutia pumzi akijipanga akupige vizuri. Hivyo usikariri. We umemkubali na mmekubaliana basi fresh tu mengine yaendelee usianze kujiuliza uliza.

Hahaahaaaa wanawake Mungu anawaona, mwanaume unatongoza leo, leo leo unaombwa tsh elf 20..unatoa, kesho unaombwa elf 15 unatoa, kesho kutwa unaombwa elf 30 unatoa, ukiomba papuchi kwa kumwambia aje gheto, gheto haji, papuchi hupewi, unaishia kupigwa kalenda isio na mwisho..

KWAMFANO IKIWA WEWE NI MWANAUME UNAEOMBWA OMBWA HELA
Mara nyingi huyo mdada anaekupiga kalenda huku akikuomba hela kila mara, pembeni ana mwanaume handsome, mdada anampa huyo mwanaume handsome papuchi ya bure tena kirahisii, SHIT!! Utakuta hata hela unazohonga anapewa huyo mwanaume handsome..utakuta huyo mwanaume handsome hajawahi kuombwa hata tsh 100 na huyo mrs vizinga hahahaaaaahaaa Jael
 
Mie shawahi kutukanwa humu na mmoja akaniambia anapesa za kuweza kunilisha na ukoo wangu mzima. Eeeh bwana we siku namkuta kwa uzi wa Ontario anaomba ampe hata kazi ya ulinzi maana amechoka kugombania remote na wadogo zake nyumbani. Haki nilicheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wana msemo wao wenyewe "fake it till you make it"
 
Unamkataa kwa Id hii unamkubali kwa Id hii. Halafu Id yake halisi ni yule "0 IQ" au pompeo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu niache jamani.
 
Sijakataa.
Mapenzi ya kweli si pesa kabisa 100%
Ila pesa inahitajika ili kuimarusha hayo mapenzi ya kweli.
Penzi na pesa ni pillars zinazoenda sambamba au zikifungamana.
Japo nabisha humu ila hawa wanawaje wapo sahihi 100%. Kwenye penzi la kweli pesa inahitajika sana..
Hata kama She anazo inabidi ziwepo kwa me hata chache za kumfanyia mshangazo/saplaiz ya vitu vidogo vidogo..
Imagine umepata penzi la kweli me huna mia..Ke hana hata mia.
Mnajikuta hata mkitaka kutoka kwenda kufurahia penzi lenu mnashindwa maana hata nauli hamna au pesa za kulipia huduma mtskazopata.

Ni kweli mapenzi ya kweli sio pesa..ila pesa ni chumvi ya kunogesha penzi la kweli.
Hichi ndicho nachokijua...
Kwakua najua sina pesa..mapenzi yakae mita 100[emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo wangu ukishakuwa na hela huwezi kuandika gazetiiiiiii kama hili kuhusu mapenzi na pesa.
 
Sijakataa.
Mapenzi ya kweli si pesa kabisa 100%
Ila pesa inahitajika ili kuimarusha hayo mapenzi ya kweli.
Penzi na pesa ni pillars zinazoenda sambamba au zikifungamana.
Japo nabisha humu ila hawa wanawaje wapo sahihi 100%. Kwenye penzi la kweli pesa inahitajika sana..
Hata kama She anazo inabidi ziwepo kwa me hata chache za kumfanyia mshangazo/saplaiz ya vitu vidogo vidogo..
Imagine umepata penzi la kweli me huna mia..Ke hana hata mia.
Mnajikuta hata mkitaka kutoka kwenda kufurahia penzi lenu mnashindwa maana hata nauli hamna au pesa za kulipia huduma mtskazopata.

Ni kweli mapenzi ya kweli sio pesa..ila pesa ni chumvi ya kunogesha penzi la kweli.
Hichi ndicho nachokijua...
Kwakua najua sina pesa..mapenzi yakae mita 100😂😂😂
Nyie wanaume mnapata wapi nguvu za kuandika maneno Mengi hivi?
 
Hahaahaaaa wanawake Mungu anawaona, mwanaume unatongoza leo, leo leo unaombwa tsh elf 20..unatoa, kesho unaombwa elf 15 unatoa, kesho kutwa unaombwa elf 30 unatoa, ukiomba papuchi kwa kumwambia aje gheto, gheto haji, papuchi hupewi, unaishia kupigwa kalenda isio na mwisho..

KWAMFANO IKIWA WEWE NI MWANAUME UNAEOMBWA OMBWA HELA
Mara nyingi huyo mdada anaekupiga kalenda huku akikuomba hela kila mara, pembeni ana mwanaume handsome, mdada anampa huyo mwanaume handsome papuchi ya bure tena kirahisii, SHIT!! Utakuta hata hela unazohonga anapewa huyo mwanaume handsome..utakuta huyo mwanaume handsome hajawahi kuombwa hata tsh 100 na huyo mrs vizinga hahahaaaaahaaa Jael
Sasa hapa mkuu nani alaumiwe? Wewe au muombaji?[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Wana msemo wao wenyewe "fake it till you make it"
Mafiiii, kama rahisi hivyo mbona hawamake. Ni hasira tu kuanzia siasani hadi huku mahabani[emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom