Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Achana na mswiss.
Alikuwa anaslide sana pm.
Alilenda papuchi zaidi.
Sasa mtu hujampm anakuja anajitambulisha mimi naishi uswiss nakaribia kurudi kama hutojali tuwasiliane.

Yule aliyembutua kamuharibia sana alikuwa analenga papuchi za jf.
Kumbe alikuja hadi kwako?
Anaanza "nipo mbali lakini tunaweza kuwa marafiki" hapo hajaulizwa yupo wapi😂😂😂😂😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mwanaume mzembe huyu si mchezo, huku kajilaza sebuleni kwa shemeji akaona maisha kayapatiaaa. Haki nimecheka hadi usingizi umeisha.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Eti kajilaza sebuleni kwa shemeji. Mimi napasuka tuu kwa vicheko.
 
Achana na mswiss.
Alikuwa anaslide sana pm.
Alilenda papuchi zaidi.
Sasa mtu hujampm anakuja anajitambulisha mimi naishi uswiss nakaribia kurudi kama hutojali tuwasiliane.

Yule aliyembutua kamuharibia sana alikuwa analenga papuchi za jf.
Weee kumbe!! Maweeee jf nzito hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134][emoji134]
Nahisi alivyosoma uzi hakuamini majicho yake, na kama kuna ambao ilishaanza kutiki sijui ilikuwaje!!
 
Kumbe alikuja hadi kwako?
Anaanza "nipo mbali lakini tunaweza kuwa marafiki" hapo hajaulizwa yupo wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzigua90 uko wapi shoga.

Sasa kuna yule mswiss wa pili alijifanya yeye anapiga picha na viza za Uswiss kabisa anamuambia Parabola nayeye apige picha kama yeye atupie.
Naye mule mule tu nacheka hiiiii
 
Weee kumbe!! Maweeee jf nzito hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134][emoji134]
Nahisi alivyosoma uzi hakuamini majicho yake, na kama kuna ambao ilishaanza kutiki sijui ilikuwaje!!
Humu ndani kuna vituko sana.
Mie huwa nashukuru nasemaga ukitongozwa na mwanaume jua katongoza wadada 20 anafanya randomly selection.

Sasa kuwa nae uamue tu kuziba masikio na kufumba macho.
 
Safi.
Mwanzo nilikuwa na mentality mbaya eti nikitaka kutoka kula raha au bill ya maziwa nasema.
Nikaona sijibiwi.
Lakini nikisema nataka hiki kikubwa napewa tena kiwango kikubwa tu.

Nilichogundua ni kitu kimoja mwanaume anapenda kutoa ili kuweka alama kwenye maisha yaani kukutoa point a kwenda point b.


Hakuna mwanaume mwenye akili timu anayeenjoy kwenda kwa mwanamke anayelipa kodi au amepanga anafenicha ana kila kitu atawale.

Hakuna.

Wanaume wote ni ni providers by nature.
Msiwaharibu jamani.
Katulia tuli mshtue kidogo na kitu achangamke.

Shida sio ninyi wanawake kutuomba hela, ukweli ni kuwa sisi wanaume tunapenda sana kuwapa hela wanawake tunao-date nao.

Shida ni kuwa wanawake wengi wanaotuomba hela mwanzoni mwa mahusiano (especially ile time kabla hawajatoa papuchi) hawana mapenzi ya kweli kwetu sisi wanaume, (wanatupendea hela) wapo na sisi kwa sababu ya hela, na sio kwasababu wamevutiwa kingono na sisi, sasa sisi wanaume we can sense & smell that from a mile, na hatujisikii vizuri tukigundua kuwa tumependewa hela.

Wewe kama mwanamke ukiwa na shida ya kifedha usisite kumuomba hela boyfriend wako eti ukifikiria utaonekana vipi, as long as unajua umevutiwa kingono na huyo boyfriend wako, it means motive yako ya kuomba hela ni nzuri, bhas wewe omba hela tu hata kama ni tsh. Million 1 (kulingana na uwezo wa boyfriend wako) na boyfriend wako kama anajielewa atakuwa more than happy kukusaidia amu Binti1 Saint Anne Jael
 
Kumbe alikuja hadi kwako?
Anaanza "nipo mbali lakini tunaweza kuwa marafiki" hapo hajaulizwa yupo wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda aliambiwa kuwa mbali ni dili.
 
Mzigua90 uko wapi shoga.

Sasa kuna yule mswiss wa pili alijifanya yeye anapoga picja na via za Uswiss kabisa anamuambia Parabola nayeye apige picha kama yeye atupie.
Naye mule mule tu nacheka hiiiii
Kumbe na yule mswiz B anatembea mule mule.? Kweli papuchi ni tamu.
Kalikuja PM kaliponichosha ni kalivyosema "
It seems wewe ni mstaarabu, kila nikibahatika kuona andiko lako linakuwa na hisia za kupole sana." Nikacheka hihihiiiiiii nipeshe huko usinipe sifa zisizo zangu.
Siku ameumbuliwa nikachaaaaaaaamba.
 
True that...

wanaume wenye hela hata huwa hawawi bothered na maneno ya mtandaoni.

kuna wanaotafuta kuonewa huruma Hivyo wanakagua kuangalia kama kuna wa size zao
Weee angalia hata wanaotoa matusi humu ni wanaume wa hovyo hovyo tu.
Kwao wao kutukana na kukashifu nyuma ya keyboard wanajiona wanaume hasa.
Wakitoka hapo wanaenda kulala kwa mashemeji zao.
 
Back
Top Bottom