Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Kumbe alikuja hadi kwako?Achana na mswiss.
Alikuwa anaslide sana pm.
Alilenda papuchi zaidi.
Sasa mtu hujampm anakuja anajitambulisha mimi naishi uswiss nakaribia kurudi kama hutojali tuwasiliane.
Yule aliyembutua kamuharibia sana alikuwa analenga papuchi za jf.
Anaanza "nipo mbali lakini tunaweza kuwa marafiki" hapo hajaulizwa yupo wapi😂😂😂😂😂😂😂😂