Huo ndio ukweli mchungu dingiNambieni hata anaumwa sio mnaniambia yupo na sponsor![emoji22]
Tit for tatπππNaandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake haipatikani nakiona Kama kichawi tu!π₯
Inauma asikwambie mtu kila siku natendwa mimi tu! Kweli dunia imevaa sketi.π¬
Acheni ubata basi! Jamiiforum sio watu ni mizimu nyinyi.
[emoji1][emoji1] pambania kombeAcheni ubata basi! Jamiiforum sio watu ni mizimu nyinyi.
Tulia dawa ikuingieππKomenti zenu ziwe zakutia moyo basi nyie mnakandia tu hivi mnajua kupenda nyinyi..π₯
Mwenzio npo nabembelezwa na skukuu hii ππ πππWewe ndo hata usiseme chochote utanitafutia ban tu maana nakujua hujawahi niombea zuri!.. fanya kuhepa tu alasivyo kerebu zitakuhusu.
Sawa yataisha tu ukimpata utupe mrejeshoAhsante mkuu heri wewe unamaneno ya kutia moyo ipo mijitu humu ni vurugu tu.