Can you imagine hapatikani toka asubuhi!

Pole sana mkuu... wasikuumize kichwa weka pembeni tafuta hela pisi zipo nyingi sana...
 
Komenti zenu ziwe zakutia moyo basi nyie mnakandia tu hivi mnajua kupenda nyinyi..[emoji26]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaniiiiii poleee
 
Ngoja wenye pesa wakufundishe namna ya kuzitafuta ili usizimiwe simu, mtoto anahitaji apelekwe beach akale mishikaki ya samaki na kuogelea wewe unataka kupiga mzigo bila kuhudumia pole
 
Kama una subwoofer sikiliza hili goma kwa sauti ya mwisho kabisa litakupunguzia machungu Ameno ya Goya Menor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…