kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika

Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau
Aliingia madarakani mwaka 2015

- mpaka sasa
Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration.

Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama vile wanafunzi waafanyakazi wa mda na wengine wengi ili awe anawakata kodi nyingi
Wahindi wakapata fursa kupitia system hiyo waakanza kujazana wanakuja kwa lengo la kusoma wakifika uku wanafanya kazi kwa wingi wanakusanya pesa wanaomba resident permenant (Yaani kadi ya mkaaji wa kudumu canada) wakifanikiwa ilo wanakusanya pesa wakaanza kuita wenzao wengi kutoka india wengine wakaanza kununua appartement nakuanza kukodisha

Wahindi wakajazana Toronto, Ottawa, Vancouver, Calgary, na mikoa mingine ya wangereza jobs nyingi wakachukuwa wao kama vile walmart, restaurants, na kazi nyingi.

Ukienda Ontario ni wao tu ndo wamejaa katika vitengo mbali mbali.

Katika city ya Brampton ni wao tu ndo wamejaa.

Canada ya sasa ni india ya badae ukiwa naishi uku chuma chako ondoka kwenu kupata kazi au nyumba nchini Canada ya sasa ni sawa na kusubiri embe chini ya mpapai
 

Ukiachana na kupata Nyumba vipi kupata pesa ?
 
Haina shida so long as wanaleta maendeleo kwenye nchi waliyopo
Dunia imebadilika sana huwezi tegemea wazawa pekee kuleta changes waingereza wamempa mnigeria conservative sio wajinga
Unajua ujinga wawaziri wa Canada ni nini alikaribisha immigration alafu akashindwa kujua hakuna sehemu ya kuwaweka na kazi za kuwapatia katika city ya Toronto watu wanaishi ndani ya tante barabarani mauaji kibao uporaji kibao icho ndicho wanacholalamikia wazawa
 
Multiracial is good, and can easily be mixed into a stronger entity..., but Multicultural is a recipe for disaster..., Hakuna neno wala shida kama wote wanaokwenda kwenye nchi za watu wakaishi kama waliowakuta bila hivyo huwa inaleta hatred... (Unless kama wanachopeleka ni better au kinaboresha kilichopo, mfano chakula entertainment lakini sio vijitabia ambavyo vinaweza kuwa Kero)

Ingawa dunia ya sasa au automation na teknolojia ambapo nguvu kazi haina uhitaji tena hivyo ajira ni tatizo tegemea sana wazawa kuwageukia wahamiaji na kuwachukia na ndio maana vyama vingi vya anti immigration na populist leaders vinachukua kasi.... Ndio maana wewe hata haukai Canada ila unawachukia hao wahindi waliojaa Canada (Nina uhakika ungekuwa Canuk ungeweza kuanza kuwachoma moto au kuwatukana kila ukiwaona)
 
Wahindi wabinafsi na wabaguzi, sishauri kuwapa nafasi za maamuzi Tanganyika.

Wahindi wabaki na huko huko kwao, hao ni kama moto wa nyika ukiisha shika msitu kuuzima inaaeza kukuchukua karne, na ukishindwa umekwisha, maana raia wakawaida watalia na kusaga meno.
 
Tupe maelekezo tunakujaje huko kama kuna vyuo vya kutupa scholarship tuambie tuje .
 
Hii miji miwili Scarborough na Etobicoke nje ya Toronto yani ni ya wahindi wako million moja.

Myahudi Jr II Dr Restart Chaliifrancisco

Nyau de adriz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…