kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika
Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau
Aliingia madarakani mwaka 2015
- mpaka sasa
Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration.
Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama vile wanafunzi waafanyakazi wa mda na wengine wengi ili awe anawakata kodi nyingi
Wahindi wakapata fursa kupitia system hiyo waakanza kujazana wanakuja kwa lengo la kusoma wakifika uku wanafanya kazi kwa wingi wanakusanya pesa wanaomba resident permenant (Yaani kadi ya mkaaji wa kudumu canada) wakifanikiwa ilo wanakusanya pesa wakaanza kuita wenzao wengi kutoka india wengine wakaanza kununua appartement nakuanza kukodisha
Wahindi wakajazana Toronto, Ottawa, Vancouver, Calgary, na mikoa mingine ya wangereza jobs nyingi wakachukuwa wao kama vile walmart, restaurants, na kazi nyingi.
Ukienda Ontario ni wao tu ndo wamejaa katika vitengo mbali mbali.
Katika city ya Brampton ni wao tu ndo wamejaa.
Canada ya sasa ni india ya badae ukiwa naishi uku chuma chako ondoka kwenu kupata kazi au nyumba nchini Canada ya sasa ni sawa na kusubiri embe chini ya mpapai