Hahah na wahindi wanavyojua kupigiana mapande na connection hakuna jamii inayowakaribia kwenye hiyo nyanja. Zipo jamii Kwa jinsi zilivyo kiasili na Kwa ustawi wa taifa haitakiwi wafikie wengi level za juu za uongozi, huu ni Ukweli mgumu sana kukubali lakini ndiyo uhalisia.
 
Tayari waziri mkuu wa Canada ameshafanya mistake hiyo kuwapa nafasi katika nchi anajaribu kuwafukuza na wengine wanajaa
 
Hapo waziri kayatimba ....Mimi nasikiaga tu mtumba wa Canada [emoji1063] ni mzuri sana kwa nchi za kiafrica unakubalika sana : utasikia watu nguo kutoka Canada [emoji1063] hii boss uhakika
 
Ndiyo maana Majuzi Trump amependeka US iichuke Canada na kuifanya iwe jimbo la 51 la Marekani.
 
Ukiona sehemu hasa nchi ya ugenini watu wanahamia kwa wingi na wanafanikiwa jua kuna sera nzuri

Wahindi wengi wanapenda biashara na kazi za soft skills kuliko ajira zile za kutumia nguvu nyingi .

Sera kwa wageni kwa Canada ziko vizuri tangu miaka hiyo na hasa peace index kwa Canada iko juu hivyo uwekezaji wao waliona uko mikono salama ndio maana walijaa, hakuna mtu atawekeza na kutengeneza chain ya biashara ili uwe salama ni uchangie mwenge na kampeni za chama tawala na kutoa hongo.

Nilikaa pia Minnesota miaka ya nyuma jamii za wasomali na wakisii na waluhya wa kenya wamejaa pale sababu ya biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…