Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Juzi hukuwaona Waarabu wakiwapiga Wa Israel huko Ulaya? Uislam ni Janga, Siku wakiamka na Takbir Allah akbar wanajilipua, atamtafuta Neta nyau haraka aje amsaidie.
Nikikwambia wewe ni muongo unakataa.
Kama unazungumzia Uholanzi wale sio waarabu ni waholanzi.
Na waisrael ndio walianza,video zilirekodiwa wayahudi wakipiga watu na minyororo na wakiwapiga madereva taksi.
Haikutosha uwanjani kipindi wenzako wako kwenye moment of silent kuhusu waanga wa mafuriko Spain wao wakawa wanaimba nyimbo za kuwatusi waanga.
Haikutosha wamefika mitaa ya watu wakapanda juu ya nyumba na kuanza kuchana bendera za Palestina.
Waholanzi waliwachoka wakaanza kuwapiga.
Hili lilipelekea Ufaransa Ile mechi ya EURO iweke ulinzi mkali dhidi ya mashabiki wa Israel Ile mechi ya France vs Israel.
Na ikaruhusu mashabiki wachache sana na iliweka takriban askari 500 Kila upande.
UNAMDANGANYA NANI WEWE KIJANA!?
UDINI HAUTAKUSAIDIA KITU,DUNIA NZIMA ILIONA NAMNA WAYAHUDI WALIVYO WAKOROFI.
NA HAWAKUFANYA FUJO UHOLANZI TU HATA UGIRIKI WALIFANYA FUJO ZILE ZILE.
AYA LETE UONGO MWINGINE.
LEO NINA WEWE HADI UACHE KUONGOPA.
 
Tusubiri tuone kama uingereza, ujerumani, australia, poland, denmark, sweden, norway, finland, nigeria na kenya kama nao watatangaza akikanyaga ardhi zao watamkamata. Usisahau india, china na urusi ongeza na korea, vinginevyo canada na hao viherehere wenzake wanatangaza abrakadabra tu hawana uwezo wa kumkamata Netanyahu
 
Mataifa ya Ulaya na Amerika yanaendelea kutoa onyo kwa Gaidi Benyamini Netanyahu zitamtia mbaroni na kumpiga tanganyika jeki atakapo gusa ardhi zao

BREAKING:

Canada announced its support for International Criminal Court’s arrest warrant for Netanyahu.

Netanyahu will be arrested if he sets foot in Canada.
1732339017233.png





 
Wanaukumbi.

Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.

Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"

Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

==============

8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.

@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”

View attachment 3158681
1732339390259.png






 
Taifa letu zuri la Tanzania kamwe lisijiingize kwenye mkumbo wa kuichukia Israel. Mheshimiwa Netanyahu akitaka kuja kuitembelea aje tu, hakuna kenge yeyote atakayemkamata katika ardhi yetu
 
Dunia inaenda kasi sana leo hii Netanyahu yupo kundi moja na kina
Jean-Pierre Bemba,
Simone Gbagbo, Germain Katanga.
Bosco Ntaganda😂
 
Ametamgaza kuongeza mashambulizi mapyaa usiku huuu naombaaa utujuze keshoo asbh.....hahahaaaa shikamooo benkqnyiii
This is very big news. Ever since the arrest warrant was issued against Netiyahu, many countries have been threatening him.
 
Good decision.
Nentanyahu is a criminal.
akikutwa na hatia anapaswa anyongwe hadi kufa.
analidhalilisha Taifa takakifu la Israeli.
 
Back
Top Bottom